opera mini next

opera mini next

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,262
Reaction score
44,385
test opera mpya opera mini 7 kupitia website hii

http://m.opera.com/next

Ina feature mpya kama
1) now kuna homepage ambayo unaweza log in account zako za facebook na twitter, kila ukienda home unapata notification za facebook na twitter
2) speed dial now zipo nyingi (version ilopita 9)
3) muonekano mpya
 
nimeikubali nimeupdate Jana fast, na visually better than v6.5
 
test opera mpya opera mini 7 kupitia website hii

http://m.opera.com/next

Ina feature mpya kama
1) now kuna homepage ambayo unaweza log in account zako za facebook na twitter, kila ukienda home unapata notification za facebook na twitter
2) speed dial now zipo nyingi (version ilopita 9)
3) muonekano mpya

Ni nzuri kuliko opera mini 12? Mi natumia simu ya nokia 5800 na opera mini 12.
 
Iko fasta kwel na inamuonekano wa kuvutia
 
mi ni mvivu wa kwenda bookmarks hizo speed dial hapo mbele kuzieka unlimited meipenda sana web muhimu zipo mbele ya simu
 
Iko superb sana ki muonekano na hata application zake. Nimepiga chini uc browser na operamin 6.5. Shukrani za pekee kwa aliyeleta uzi huu.
 
Mi mwenye Nokia C1 mbona inazingua jamani?
 
Mbona kwangu nikitaka ku sign in Fb aitaki,yani pale pakujaza aitaki kutype help me na mini nifaidi simu yangu ni LG KP500
 
hii haijakua released officially so inaweza ikawa na bugs na hizo bugs zinazotokea kwenye simu zenu opera mini ndo wanazihitaji ili warekebishe sorry
 
mimi naandikiwa 'invalid web setting' nifanyeje ndugu,ebu saidia niweze kuipata.
 
daah hii kitu iko hot but nat officially released. kwamfno: am using android ideos, nikicheki apps ktk Google play ipo previous version operamini 6. ile nyekundu.
hii operamini next rangi ya maziwa labda mtu aipate kwa opera wenyewe..
 
Opera Min Next inafanya kazi vizuri, ila nikizima simu, nikaiwasha tena, huwa haifunguki, inabidi ni-install upya. Niki-install upya na kuifungua automatically narudi kwenye ukurasa nilipokuwa. Natumia Nokia E61!, naomba msaada nini tatizo. Ni hayo tu!
 
test opera mpya opera mini 7 kupitia website hii

http://m.opera.com/next

Ina feature mpya kama
1) now kuna homepage ambayo unaweza log in account zako za facebook na twitter, kila ukienda home unapata notification za facebook na twitter
2) speed dial now zipo nyingi (version ilopita 9)
3) muonekano mpya

chief shukrani sana ipo poa.
 
Back
Top Bottom