Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,590 Jan 23, 2013 #1 Msaada kwa anayejua
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Jan 23, 2013 #2 zote zinadownload
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 140 Jan 23, 2013 #3 Tumia uc browser maana opera nana inateseka sana kubrowse hzo page za hulkshare
EJM_ JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 3,836 Reaction score 2,119 Jan 23, 2013 #4 Mi natumia both Opera 7.1 na UC Browser 8.7 na zote zinadownload kutoka Hulkshare
Msherwa JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 1,323 Reaction score 1,232 Jan 23, 2013 #5 Hivi kuna desktop version ya uc browser (as a PC browser) naweza ipata wapi? chief-mkwawa e2themiza MziziMkavu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hivi kuna desktop version ya uc browser (as a PC browser) naweza ipata wapi? chief-mkwawa e2themiza MziziMkavu
nicholousaloyce Member Joined Sep 26, 2012 Posts 26 Reaction score 1 Jan 23, 2013 #6 Jalibu uc web 8.8
K Kiparaa JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 384 Reaction score 114 Jan 23, 2013 #7 Jipu said: Msaada kwa anayejua Click to expand... zote lakini ukishaingia hulkshare set hiyo opera kwa kwenda TOOLS>SETTING kisha 'unmark' mobile view then save na u 'reload' utaweza kuona link ya Download
Jipu said: Msaada kwa anayejua Click to expand... zote lakini ukishaingia hulkshare set hiyo opera kwa kwenda TOOLS>SETTING kisha 'unmark' mobile view then save na u 'reload' utaweza kuona link ya Download
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Jan 23, 2013 #8 then sometime kidude cha download hakifanyi kazi ila ipo alternative fata step hizi kudownload 1. Click mziki au file ulilolipenda mfano mziki psy gangnam style itafunguka page 2. Kwa chini utaona button ya download click kudownload 3. Sometime inakataa kwa kustack kwenye generating file usihofu kuna another way kwa pembeni kuna kimshale kimeelekea chini kiclick itaanza kudownload hope utaweza
then sometime kidude cha download hakifanyi kazi ila ipo alternative fata step hizi kudownload 1. Click mziki au file ulilolipenda mfano mziki psy gangnam style itafunguka page 2. Kwa chini utaona button ya download click kudownload 3. Sometime inakataa kwa kustack kwenye generating file usihofu kuna another way kwa pembeni kuna kimshale kimeelekea chini kiclick itaanza kudownload hope utaweza