Sasa hawa jamaa wanafeli sana ivi kwani wakati uyu Singh anaingia kwa mara ya kwanza pale hotelini CCTV camera zilikua wapi? kaingia kapita Mapokezi kazungumza Camera zilikua wapi? kapelekwa kwa maneja wa Opera house kabla ya wizi kutokea Camera zilikua wapi?...