Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

Pls naomba unitag. Kiufupi hao vijana hawana kesi yoyote ya kujibu maana hao CBI ndo walifanya uzembe mkubwa, inakuwaje jamaa atangaze kazi feck ambayo ni sensitive bila kushtukiwa?
Hahahaa mkuu kwenye kazi hakuweka kuwa inahusiana na CBI hiyo alikuja kuwatonya wakati akiwafanyia usahili
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Back
Top Bottom