Openbox mpeg4 hd receiver

Hapo nimetengeneza mahusiano ya kibiashara na kindugu, uoni kama wakiweza kuwasiliana na kusaidiana, nitakuwa nimeunganisha undugu na urafiki?

Mkuu kumbuka vifaa vya kuchakachuwa dstv mytv canali top tv nk nibiashara halamu sawa na kokeni

Vaku wa dstv wanahangaika usiku na mchana kuzibiti na kuwasaka wabaya wao ambao ni wewe mimi na huyo unaye mutangaza hauoni ni hatali?
 
Hapana kaka, utakuta hizo decoder au receiver wakati mwingine zenyewe tu bila kuzifanya chochote tayari zina uwezo huo wa kuona na ku encrypt au to decode codes or data, sasa sioni tatizo hapo.
 
Mkuu kumbuka vifaa vya kuchakachuwa dstv mytv canali top tv nk nibiashara halamu sawa na kokeni

Vaku wa dstv wanahangaika usiku na mchana kuzibiti na kuwasaka wabaya wao ambao ni wewe mimi na huyo unaye mutangaza hauoni ni hatali?
Acha uoga mkuu! Mi sio mgeni kivile kwenye hii black market ila tofaut yake nilikuwa sijajiingiza kabisa, nlikuwa naletewa mizigo ya jamaa tu ila nikaja kuwashtukia kuwa wananipiga mno ndo maana nkaamua nipost mada ili niweze kupata ufahamu zaidi. Ukizingatia kwenye satellite tv nnaufahamu wa kutosha tangu enzi za kuchakachua etv, sabc. Kilichonikera zaidi kuna madogo waliniuzia Hawk dongle lakini baada ya siku tatu hamna kitu! Ndo maana nimeulizia mpeg4 hd risiva nzuri sababu nimeskia zipo zenye uwezo wa ku unlock scrambled channel. Kwahiyo uwe huru kwa kuwa hili ni darasa huru mkuu!
 
no no no mnadanganya hamna ki2 kama hicho dstv uwa wana update mitambo zao ili iwe scrambled huwez kutegemea recives peke yake wakuu ni kwel kabisa unaweza ku watci bure dstv cha kufanya nunua fta receiuer yoyote ya kisasa nashauri strong then itabid uulizie kifaa kinaitwa avatar dongle ambacho kina discramblf channel za dstv,mytu,e.t.c hiki kifaa ndo kinafanya updates tatizo lolote likitokea pia utahitaji na dish mbili hadi hapo kwisha kaz
 
Acha uoga mkuu! Mi sio mgeni kivile kwenye hii black market ila tofaut yake nilikuwa sijajiingiza kabisa, nlikuwa naletewa mizigo ya jamaa tu ila nikaja kuwashtukia kuwa wananipiga mno ndo maana nkaamua nipost mada ili niweze kupata ufahamu zaidi. Ukizingatia kwenye satellite tv nnaufahamu wa kutosha tangu enzi za kuchakachua etv, sabc. Kilichonikera zaidi kuna madogo waliniuzia Hawk dongle lakini baada ya siku tatu hamna kitu! Ndo maana nimeulizia mpeg4 hd risiva nzuri sababu nimeskia zipo zenye uwezo wa ku unlock scrambled channel. Kwahiyo uwe huru kwa kuwa hili ni darasa huru mkuu!

Mkuu umesema hauna ufahamu wakukusaidia unamwita mwongo sijakusoma

Tofautisha etv ya kipindi hicho na sasa au dstv my tv topo tv canal nk nikwanini? Kwasasa unashindwa kuchakachu etv

Unaamini kila uambiwalo na kubisha kila uambiwalo nikweli hauna {ufa
ham}
 
Attachments

  • 334_thumb.gif
    334_thumb.gif
    1.9 KB · Views: 367

Mkuu nimetumia risiva nyingi ikiwemo OPENBOX S9 na S10. STRONG 4930 zote. HD pvr zinauwezo sawa si kwakuchakachuwa peke yake kunakuwa nanjia nyingi
 
Mkuu umesema hauna ufahamu wakukusaidia unamwita mwongo sijakusoma

Tofautisha etv ya kipindi hicho na sasa au dstv my tv topo tv canal nk nikwanini? Kwasasa unashindwa kuchakachu etv

Unaamini kila uambiwalo na kubisha kila uambiwalo nikweli hauna {ufa
ham}
Naona hujanielewa, mimi nilichosema ni kuhusiana na kumueleza mkuu kuacha uoga na kuanza kuwataja dstv wakati wenyewe wanalitambua hili, na kama kuzuia watakesha kwenye mitambo yao lakini kukamata watu basi tutasombwa nchi nzima maana watu kibao wanachakachua! Na suala etv nilitolea mfano tu kuwa kipindi kile nilijihusisha sana na uchakachuzi wake lakini baada ya kubanwa na kitabu nikaachana kabisa na hyo kitu, na sasa baada ya kurudi ulingoni ndo nikakuta mambo mengi yamebadilika ndo mana imenibidi niombe huu msaada. Na sidhani kama kuna sehemu nilikoandika kuwa ni muongo naomba usome vizuri, lengo lilikuwa ni kumtoa hofu mkuu.
 
Mkuu nimetumia risiva nyingi ikiwemo OPENBOX S9 na S10. STRONG 4930 zote. HD pvr zinauwezo sawa si kwakuchakachuwa peke yake kunakuwa nanjia nyingi
Sawa mkuu, ila njia nyingine ni kama zipi? Na je zinapatikana kwa shilingi ngapi kwa hapa bongo? Maana kuna fundi hapa amenishauri ni nunue Arisati ili anifunie na dongle! Sasa hii device siiamini sana maana naskia inaweza ikakaa hata wiki mbili bila kufungua channel kama password zikibadilishwa!
 
Wakuu hicho kingamuzi cha strong srt 4940 hd mpeg 4 na Avatar dongle ninaweza kuvipata kwenye duka gani hapa mjini dar salaam na bei zake zikoje?
 
kuna fundi alinielekeza vingamuzi vya humax, astrovox na wiztex, sijui kuna mtu ameshavitumia atupe uzoefu? na hapa dar vinapatikana wapi?
 
Sawa mkuu, ila njia nyingine ni kama zipi? Na je zinapatikana kwa shilingi ngapi kwa hapa bongo? Maana kuna fundi hapa amenishauri ni nunue Arisati ili anifunie na dongle! Sasa hii device siiamini sana maana naskia inaweza ikakaa hata wiki mbili bila kufungua channel kama password zikibadilishwa!

Mkuuu hembu muulize huyo fundi Dongle inapatikana kwa bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom