Open university transfer opinion

Open university transfer opinion

gadi alex

Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
74
Reaction score
27
Kwanza natanguliza salam! Mimi ni mhitimu 4m6 mwaka huu na nimepangiwa open university ( bachelor' of science with education) nilikuwa naomba ushauli kwa yeyote ambaye amachaguliwa hapo na amefanikiwa kufanya transfer,mana nawaza kuhama hapo, au kama kuna yeyote anayejuwa taratibu za transfer!
 
komaa nayo tu,,japo ulikichagua bila kujua kuwa ni DISTANT LEARNING ,,,komaa tu dogo utamaliza mbona fresh tu,,,piga buku huku unafanya mishe zako mingine.....ila ulinifurahisha sana kuchagua OPEN ukijua kuwa nacho ni chuo cha kufundshwa full time ,,,,,kumbe ni kweli unaweza kumaliza PHD afu kuna vitu unakuwa hujui,,,,,pole sana nakushauri ukomae na OPEN ,,mie natka mwakani nikachukue degree ya tatu hapo open
 
Tukutane 12 November pale chuoni kwaajili ya orientation.. Mie naenda kupiga uchumi hapo
 
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2]
 
Kwanza natanguliza salam! Mimi ni mhitimu 4m6 mwaka huu na nimepangiwa open university ( bachelor' of science with education) nilikuwa naomba ushauli kwa yeyote ambaye amachaguliwa hapo na amefanikiwa kufanya transfer,mana nawaza kuhama hapo, au kama kuna yeyote anayejuwa taratibu za transfer!
Tembelea website ya TCU wametoa taratibu za kuhama! Mwisho wa mchakato huo ni tarehe 18/11/2016.
 
Back
Top Bottom