Open university ( out ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Open university ( out )

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NasDaz, Jun 26, 2010.

 1. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Wakuu, msaada kwenye tuta!!!
  Ningependa kufahamu kuhusu shahada za pili zinazotolewa na Open University of Tanzania, especially MBA. Awali ya yote ningependa kufahamu Content ya shule itolewayo (especially kwa MBA Evening Program ambayo unaingia class). Also, ningependa kufahamu public perception (especially from employers and other university) over the programs offered. What competitive edge does OUT student have over other MBA holders. Is S/he considered as really MBA holder au inaonekana ni kama Elimu ya Ngumbalu?! Plz, assist; naogopa nisije kupoteza resources (money and time) for less valued service.

   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.nenda kwenye website yao utakuta kila kitu.
  2.kwa maoni yangu wahitimu wake wanaheshimika tu sawa na vyuo vingine.
   
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Mkuu hiki chuo ni public university kama UDS, Mzumbe,nk, degree zote wanazotoa zimeithinishwa na Tanzania commission of universities. huwezi anzisha program na kuifundisha bila hawa jamaa wa TCU kuidhinisha, same applied to UDSM SUA; MZUMBE, nk,,kwa hilo shaka ondoa,

  Kingine walimu hao hao wanaofundisha UDSM, MZUMBE ni hao hao kwa kiasi kikubwa wanavipindi OUT. zaidi waweza yapata kwa website yao www.out.ac.tz,,,,,,,,angalia FBM

  Kila la kheri
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Mpwa, mbona swala la perceptions ni la kifalsafa zaidi??? Kila mtu ana perception yake, juu ya elimu ya OUT, nipo hapa hapa ujue ndo natuma haka ka thread, nafanya polepole wasisikie, ila to be honest, kama wanafunzi sio wavivu, OUT have the best and most current books and reading materials fo reference.

  Perception yangu ni kwamba, wana elimu nzuri, vitabu vizuri ila wanafunzi wabovu na wanaotaka mteremko

  senkyuuuu
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jun 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  GENERAL PERCEPTION: Zamani kulikuwa na kauzembe OUT kiasi kwamba paper zilikuwa zina-leak ila sasa hivi nasikia mambo yao mazuri. Siku hizi nasikia unapigwa usaili kabla hujaingia kwenye mtihani, wakiona uko tayari kufanya mtihani wanakupa "exam visa" ambayo utaingia nayo kwenye paper! Kwa upande wa lectures ni walewale wa vyuo vingine. Kwa kifupi ni chuo kizuri na kinaheshimika kuliko hata UDSM siku hizi!
   
 6. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni chuo kizuri sana OUT
   
Loading...