Asante mkuu, vipi mda wa maombi na usajiri , nikama vyuo vya kawaida au hiki unaomba mda wowote?Hapo Ada unalipa kwa unit ambayo ni TSh 60000 kwa hiyo inategemea na coz kwa mfano coz yako ina unit 12 kwa mwaka utazidisha kwa hiyo 60000 gharama zingine ni tcu, student organisation fee na examination fee ambayo ni TSh 5000 kwa kila mitihani
Nina diploma mkuu, Kumbe nitaombea nacte, (FTC and equivalent)Ni kama vyuo vingine lkn kama ni Fresh from school unapitia tcu
Mkuu, hebu nifafanulie hapa ada bado ni 60,000 kwa somo? au washabadilisha.nime-google hata siion fee stracture ya out. pia kunaidadi ya unit ambazo ni lazima kuzichukua kwa semister? pia BACHELOR OF COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT ninaweza kuisoma kwa miaka mingapi?
Ubarikiwe mkuuKozi za undergraduates zote ada ni shs 60,000/ kwa unit na kwa BCED utasoma unit 36 kama sijakosea!
Kama utafuata maelekezo na kuwa na self discipline huwezi kuzidi miaka mitatu na unakuwa competent vizuri sana
mm nataka kusoma masomo ya graphic design upande wa micromedia, indesign, coldfusion, photoshop, illustrator, na mengineyo yahusuyo graphic ni bei ganiSi kila elimu itolewayo na open ni ya masafa marefu IT inafundishwa darasani na ni mikoa 13 inayofundisha IT na pia kuna baadh ya course zinafundishwa darasani pia za level nyingine pamoja na masters
Kozi za IT gharama zake ni shilingi ngapi mkuu?? per unit!Kozi za undergraduates zote ada ni shs 60,000/ kwa unit na kwa BCED utasoma unit 36 kama sijakosea!
Kama utafuata maelekezo na kuwa na self discipline huwezi kuzidi miaka mitatu na unakuwa competent vizuri sana