Open university of Tanzania hawatoi majina walioapply direct chuoni degree?

LTN USU WA MADOSO

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,193
859
leo open university wametoa majina ya wale walioapply degree kupitia Tcu je ?wale walioapply direct chuoni wanatoa majina lini? au waliapply direct chuoni wameibiwa ??
 
Walitoa maelekezo walioapply kupitia chuo ni waliomaliza form 4 miaka ya 1987 kuludi nyuma kama sikosei!!
 
Back
Top Bottom