Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,607
Ukikosa vigezo vyote vya kujiunga na vyuo vikuu Tz ndio unajiunga na chuo kikuu huria au vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
KABLA HUJASOMA HAPO ULIPASWA KUJIHAKIKISHIA KUWA WEWE NI FAST LEARNER?UNAWEZA KUSOMA AU KUJIFUNZA BILA MSAADA KWA 75%? UMEWAHI KUSOMA SHORT COURSE YOYOTE ILE ONLINE UKAPATA SCORE MORE THAN 60%?Nimesoma vyuo tofauti lakini sijawahi kuona chuo kigumu ndugu zanguni Kama open university..........
Yaani nimeshidwa kuamini baada ya kujiunga chuo nimeambiwa hakuna kuingia darasani , Hakuna lecture, Hakuna walimu, wanafunzi hamjuani, material unatafuta mwenyewe wao wanakupa mwongozo, wewe unasubilia mitihani tuu basiii
kwa elimu hiii hapana kabisaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko sawa mzee!Binafsi sijawahi fundishwa na lecturer nikaelew hadi nikafunue mwnyw madaftari ya babu yangu. Huko kungenifaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aa wapi, watu wengi wa open wanalalamika kwamba waajiri hawawaamini kabisa , ukilinganisha na wale wa darasanikwa jinsi hali ya ajira ilivyo, waajiri wengi wanatakiwa mtu mwenye cheti cha hapo apewe ajira, kwa jinsi hal ya chuo ilivyo
hapana vigezo ni vile vileUkikosa vigezo vyote vya kujiunga na vyuo vikuu Tz ndio unajiunga na chuo kikuu huria au vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hio ndio elimu ya chuo inavyotakiwa iwe, sio elimu ya kulishiwa material kama mfugo.
Muajiri gani anamkataa Candidate bila kumfanyia usaili (Interview)?and this is ridiculous and shame to them!!Aa wapi, watu wengi wa open wanalalamika kwamba waajiri hawawaamini kabisa , ukilinganisha na wale wa darasani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nafkiri sababu ya kuwakataa before interview ni kwamba, elimu ya chuo mara nyingi ndiyo tunayoenda kuitumia kazini. Sasa hawa jamaa wanawaza kwamba yan mtu alijifundisha yey mwenyewe na hakupata mtu anayeelewa vile vitu ili amuulize maswali sehemu ambazo hajazielewa, na wkati mwingine alifundishwa na mwalimu ambaye amebobea na anayafahamu hayo mambo. Ndipo wana conclude kwa aliyesoma openi ankuwa hajaipata elimu sawasawa kuliko aliyesoma darasani na mwalimu.Muajiri gani anamkataa Candidate bila kumfanyia usaili (Interview)?and this is ridiculous and shame to them!!
Anachokiongea darasa mwalimu ndio hiko hiko kilichopo kwenye notes utakazopewa sema labda mwalimu anakufafanulia zaidiMim nafkiri sababu ya kuwakataa before interview ni kwamba, elimu ya chuo mara nyingi ndiyo tunayoenda kuitumia kazini. Sasa hawa jamaa wanawaza kwamba yan mtu alijifundisha yey mwenyewe na hakupata mtu anayeelewa vile vitu ili amuulize maswali sehemu ambazo hajazielewa, na wkati mwingine alifundishwa na mwalimu ambaye amebobea na anayafahamu hayo mambo. Ndipo wana conclude kwa aliyesoma openi ankuwa hajaipata elimu sawasawa kuliko aliyesoma darasani na mwalimu.
Just mtazamo
Sent using Jamii Forums mobile app