donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
sijkuelewa mkuu...yaani inatoa subtitle hata kama muvi haikuwa na subtitle ama!?
aminia mkuu...yes mkuu
yes mkuu
wakuu, hii player ni nzuri sana ina rich features nyingi ni kikubwa ni kwamba unaweza kupata subtitle ya muvi yeyote unayoichek hata kama sio ya kingereza. hapa naangalia muvi a kijapan inaitwa Shinobi kwa kutumia hii player, napata subtitle frsh 2/Enjoy it guys: Open Subtitles MKV Player - Free DivX, avi, wmv, youtube player!
mkuu jana nilidownload nzuri cana nikala movies 3 zilizotafsiriwa in simple language
pamoja mkuu
mkuu nimei download ila unai set vp ili ioneshe hizo subtittle?
Kuonyesha subtitles ni hadi uwe online au hata usipokuwa online?