Messi Walks a Lot (The seven tendencies Lionel Messi displayed in Argentina's win over Poland: Some familiar, some less so)

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,454
19,476
Hii ni article ya muandishi Gab Marcotti aliyeamua kumuangalia Messi kwa dakika zote aone anchofanya - very interesting read...

DOHA, Qatar -- The conceit was simple, ahead of Argentina's final group game against Poland: What if you simply watched one player for 90 minutes? And that player, one of the undisputed GOATs, might well be playing his last World Cup game ever. So, pen and pad in hand, I did what I've never done before: chronicle one guy's every moment on the pitch.

Spoiler alert: Argentina beat Poland 2-0, which means this wasn't Lionel Messi's final appearance at a World Cup. You'll get to see him again, maybe once, maybe two, three or even four times in Doha. And yes, there is a chance -- never say never -- that he may turn up in 2026, although he turns a venerable 36 this summer.

Despite having watched Messi for the past two decades -- perhaps 500-plus times on television and at least 100 times in person -- when you zero in on him and nothing else, you pick up things you don't otherwise see, as well as getting confirmation of things you suspected. Here are some I picked up against Poland:

1. Messi walks around most of the match​

It's the nature of the game to be walking when the ball isn't near you, but Messi does it far more than most. This, we knew: Bobby Gardiner's seminal analysis of Messi walking through the 2018 World Cup is a tremendous read. When you look only at him, though -- something you can really only do in person -- it is absolutely remarkable how disengaged he appears to be from everything else.

He doesn't track runners, he may stick out a leg if an opponent is nearby, but mostly he just strolls around. Sometimes he's looking in the general direction of the ball; sometimes he's not.

You're tempted to think it's energy conservation -- after all, the man is 35 years old -- and walking means you can save energy for when you need to sprint. Except Messi, especially at national team level, has been doing this for a long time.

2. Messi has two other speeds: the seldom-used trot and the rarer-style sprint​

The trot is what he uses when he needs to get from point A to point B in a hurry, usually to avoid being offside or to take a set piece. The sprint is unleashed when the ball is with someone he knows can deliver it to him or when he needs to pull a defender out of position. It's not something we see often, but, when it happens, it can be devastating.

I counted four occasions, there may have been more. He sprinted toward the far post to win a header (and the generous penalty, which he then missed). He took off as soon as Wojciech Szczesny parried Julian Alvarez's shot, as if he knew Alvarez would recover the ball and cross it. On the other occasions, he whipped a ball over the top of the defender to the flank and took off into space, confident that he'd get a return cross (sometimes he did, sometimes he didn't).

3. Most of Messi's dribbling runs are generally all the same​

What I mean here is that the vast majority of the time, he receives the ball either at a standstill or at a trot and then either stops before taking off again or spins into space. He's quick with the ball at his feet, which seems counterintuitive, and he takes on opponents all the time. He doesn't seem to mind losing the ball, which happened quite a bit against Poland, perhaps because he's giving it away in spaces where it won't hurt Argentina (and perhaps because his teammates adjust to the possibility). Whether he loses it or whether he beats three or four opponents, the effect was the same: opposing defenders converge on him, whatever defensive shape was in place is now warped, which means openings are created elsewhere.

4. Messi's passing party trick is extremely tough to defend​

There's a classic Messi pass from central positions, which, like a Garrincha dribble, opponents know is coming but simply can't stop it. He gets the ball centrally, he fakes a dribble and then twists his body to uncork a curving left-footed pass that dinks at pace over the defensive line and into the left wing position. Marcos Acuna was the beneficiary of this on three different occasions, but, perhaps, the most stunning version of the pass was the one that found Alvarez late in the game.

Despite so many repeated patterns in his play, Lionel Messi is still incredibly difficult to defend.
Once Messi receives the ball there, it's a classic triple threat. He may dribble and draw the foul, he may take a touch and shoot or he may pull off that pass to the left. You can't really defend the pass because you have to be aware of the other options, which, you might say, are the "least bad" ones.

5. Messi spends 90% of the game in the same two areas​

One is approximately a third of the way between the "D" at the top of the opposing penalty area and the center circle, the other is wide on the right, just inside the opposition half.

When it's the former, the outcome is almost always a shot, the aforementioned pass or a dribbling run that results in a foul or a shot (or, if defending well, a turnover). When it's the latter, at least in this game, it was mostly one of two things: a simple layoff, as if to say, "Nope, not feeling it, you have a go," or the classic dribbling run, usually from right to left. Again, you know what's coming.

6. Even when Messi doesn't get the ball, he wreaks all sorts of havoc as a decoy​

His mere presence is disruptive, because if you're an opposing player, you're well aware of who he is and what he can do. When he's not at the top of the "D," the center-backs wonder where he's gone. And when he shows up on the right, the opposing team's left side has an overload to think about.

7. All of the above are obvious Messi patterns, but then he'll break them without warning​

It's as if he lulls you into a sense of security.

Take the header that led to the missed penalty. You don't' expect to see Messi at the far post challenging a 6-foot-4 keeper like Szczesny in the air. Or Argentina's opening goal: the play unfolded down the right, the cross came from the right and Messi was all the way next to the left touchline. Or two other occasions when he picked up the ball deep in his own half, from his own central defenders.

And there are the moments when he forgets his age -- and tricks his body into forgetting it, too. Look at the counterattack where he received the ball in his own half and raced with it into the opposing half, a half-dozen Poland players converging around him like a white cloud and Messi emerging from it to shoot on goal. It was blocked, but still.

This is obviously just a 90-minute-plus-injury-time snapshot of what Messi does at this stage of his career, but it's typical (missed penalty aside) and it's still a lot while often appearing to be little. And while it's familiar, it's the moments of unfamiliarity that he can still conjure up that give an added layer of threat.

Enjoy it while it lasts.
 
Hivi kwa muda huu, bado hatuna software ya kuweza ku-edit mechi ambayo imesahkuwa recorded, yenye uwezo wa kuondoa wachezaji wengine wote halafu akabaki mmoja tu uwanjani ikiwa ni pamoja na mpira, ili kuweza kumuona alikuwa anafanyaje movement zake with respect to positon of the ball, at any time t? Software ya namna hii ipo au haipo?
 
Huwezi ukapata footage ambayo haipo recorded beforehand.., lakini karne hii ya video cameras uwanjani kila kona lazima kuna camera inayomfuata star kila sekunde.., kwahio nina uhakika kina Sky n.k. watakuwa na footage ya kila kitu kila wakati ndio maana hata unaona watu wakiongea wachezaji wanaziba midomo kwa mikono sababu kila unachofanya uwanjani huenda kikaonekana....

Hata kama umedanganya kazini unaumwa ukaenda zako Qatar usishangae boss wako akakuona kwenye luninga unashangilia (hapo itabidi useme mlizaliwa mapacha)...

Suala la editing ni rahisi sana kila video software inaweza ikachukua clips zozote wakati wowote ila utagundua kwenye footage ambayo unayo wewe ni ya dakika 90 ambapo ukimuwekea tuseme labda kipa peke yake huenda isiwe dakika moja..., wakati hapa jamaa alimuangalia Messi tu kwa dakika 90
 
Hapa kwenye kijiwe chetu cha kahawa kwa Mwinyijuma Domo domo kila siku utasikia "Messi hana kitu, anabebwa na wenzake tu...wa kawaida sana tu".

Wabongo mdomoni,na hasa " kudogoisha" kitu kikubwa kionekane kidogo mno,tuko vizuri. Tunaweza kusema hata kusafiri anga za mbali (mwezini au Mars) ni jambo dogo mno,japo hatuwezi.

Mimi nilionya mapema mara baada ya Argentina kupigwa na Saudi Arabia, watakaokutana nayo wajipange.Si ajabu ikacheza Semifinal au Fainal,na hata kuondoka na ndoo, nikaishia kuchekwa mithili ya nabii Nuhu na tahadhari yake kuhusu gharika.
 
Vipi Bado Messi anatembea uwanjani
Sasa unadhani ataacha; hio ndio cheza ya Messi miaka yake yote; sasa wewe ukitaka vinginevyo ni wewe....

Ila waliofanya uchambuzi wa kumuangalia Messi ndicho anachofanya especially timu ya Taifa
 
Sasa unadhani ataacha; hio ndio cheza ya Messi miaka yake yote; sasa wewe ukitaka vinginevyo ni wewe....

Ila waliofanya uchambuzi wa kumuangalia Messi ndicho anachofanya especially timu ya Taifa
Guardiola alishalijibu hili.
Muangalie Mbappe wa world cup ile na hii Mana ndiye mtu wa pili kwa kutembea ila angalia wanaonekana wapi.
utajua huwa hawatembei Bali kuwadanganya watu kuwa hawapo mchezoni ila ndio hao wanaoleta maafa golin kwako.
 
Na tracking down and putting tackles ni kuwadanganya defense ?

Walking sio a Plus ingawa inafanya kazi ila mambo yakienda Kombo mmezidiwa inabidi kila mtu a-pull up his sleeves ndio mnajikuta mnapigwa bao za kutosha au mshashinda tatu zinarudi...

Sio tatizo kama ukitengeneza timu kumzunguka mtembeaji ila kama sio hivyo anageuka mzigo (hakikisha kuna watu wa kusahihisha makosa au kutafuta mpira anapopoteza ili wampe tena)

Talent is no substitute for hard work.....

By the way hivi uliuliza nini na umejibu nini ?

@Phil Houston
Vipi Bado Messi anatembea uwanjani
 
Kwahyo tusojua ki malkia huu uzi ni wa kumsifu Messi au kumkandia?
 
Kwahyo tusojua ki malkia huu uzi ni wa kumsifu Messi au kumkandia?
Neither...... Just telling it as it is.....

Messi ukijenga timu kumzunguka utamu-enjoy ila ukiwa na timu ya kila mtu kujituma, kukaba na kuhangaika atakuwa kama mzigo.... Na ndio maana huenda kwa miaka mingi amefanya vema na Barcelona lakini Timu yake ya Taifa he has been found wanting....

Binafsi nakubaliana na msemo kwamba "Talent is no substitute for hard work...." kwahio huenda ukapata zaidi kwa watu 11 wanaojituma na kuhangaika kuliko Nane wanaojituma na wengine watatu wanangojea kuletewa na wakipoteza wanaachia wengine watafute..., Ndio maana binafsi hata ile Galacticos ya kina Zidane niliweza ku-appreciate kazi ya Claude Makalele
 
IMG_8290.jpg
 
Na tracking down and putting tackles ni kuwadanganya defense ?

Walking sio a Plus ingawa inafanya kazi ila mambo yakienda Kombo mmezidiwa inabidi kila mtu a-pull up his sleeves ndio mnajikuta mnapigwa bao za kutosha au mshashinda tatu zinarudi...

Sio tatizo kama ukitengeneza timu kumzunguka mtembeaji ila kama sio hivyo anageuka mzigo (hakikisha kuna watu wa kusahihisha makosa au kutafuta mpira anapopoteza ili wampe tena)

Talent is no substitute for hard work.....

By the way hivi uliuliza nini na umejibu nini ?
Hizo hard work bila talent itabakia hard hivyo hivyo.
Timu lazima iwe na mtu wa kubadili mchezo tokea eneo lolote I we kwa pasi au kuwapunguza.
Mpira unachezwa kichwani maguvu pekee hayasaidii Kama Akili hakuna

Na kufungwa goli unafungwa ht Kama unakaba au wote wanaofungwa hawakabi.

Mlisema Barca ilijengwa kumzunguka kaangalie sasa Ordinary club iliyokuwa ikibebwa na mtu mmoja mnaesema anatembea.
 
Hivi kwa muda huu, bado hatuna software ya kuweza ku-edit mechi ambayo imesahkuwa recorded, yenye uwezo wa kuondoa wachezaji wengine wote halafu akabaki mmoja tu uwanjani ikiwa ni pamoja na mpira, ili kuweza kumuona alikuwa anafanyaje movement zake with respect to positon of the ball, at any time t? Software ya namna hii ipo au haipo?
Super idea

I think they do… wanawavalia gadgets and can map individual player pattern

Nyingi Bado ni proprietary na zina Sukums’s na AI
 
Hizo hard work bila talent itabakia hard hivyo hivyo.
Timu lazima iwe na mtu wa kubadili mchezo tokea eneo lolote I we kwa pasi au kuwapunguza.
Mpira unachezwa kichwani maguvu pekee hayasaidii Kama Akili hakuna
Unajua Route One Football fuatilia Sam Alladayce na timu zake au uliza Klopp na Liverpool alisema nini alivyofungwa majuzi hapa kwamba timu pinzani ilikuwa ina-stretch the rules to the limits kwahio a physical game pila kutumia nguvu na grafting haufiki popote, Prima donnas 11 hawawezi kufanya kitu unless watumie mbinu ya Tiki Taka yaani wahakikishe hamgusi mpira kwa passing game ila ndio hivyo tena you need to mix it...

By the way hauelewi maana ya msemo wa kwamba talent is no substitute for hard work...., ile Galacticos ya kina Zidanne usingeweza ukamtoa Makalele na kuleta prima donna yoyote..., Barcelona pamoja na fancy stuff zao Yaya Toure alikuwa anaipa protection.., kwahio msemo huo ndio maana yake, Mtu kama Messi na Prima donna yoyote ukimnunua lazima ununue na grafter wa kufanya the hard bits and tackling na tracing back.... Au sababu una talent haimaanishi wewe kazi yako ni kupoteza mipira na kuangalia kusubiri uletewe...
Na kufungwa goli unafungwa ht Kama unakaba au wote wanaofungwa hawakabi.

Mlisema Barca ilijengwa kumzunguka kaangalie sasa Ordinary club iliyokuwa ikibebwa na mtu mmoja mnaesema anatembea.
Barca is ordinary Club ? Hivi wewe unajua kina Puyol, Iniesta, Yaya Toure, Neymar, Suarez, Busquets, Pedro Xavi ambao wamecheza na Messi ni Ordinary ?!!!! Hivi wewe mdau kweli unafuatilia Soka tunayofuatilia sisi au wewe unaangalia kwenye Playstation ?

Barca ni ordinary ?!!! Hivi unajua kina Maradona Ronaldinho, Ronaldo, Figo, na Maradona wote walishachezea Barca ? au hio ordinary inatokea wapi...

Pili Barca kuanza kwake kushuka kumeanza Messi ameondoka au wakati bado yupo ? matokeo ya Champions League kufungwa huku wakiwa wameshinda Messi alishaondoka ?
 
Super idea

I think they do… wanawavalia gadgets and can map individual player pattern

Nyingi Bado ni proprietary na zina Sukums’s na AI
Nadhani hapa tunachanganya issue kidogo.., kupata footage ya kila mchezaji anafanya nini kwa dakika tisini issue / kazi sio kwenye editing bali ni kwenye kupata hio footage (hata hio sio kazi sababu tunaweza tukawa na camera 22 kwenye mechi inamfuata kila mtu) kwahio editing itakuwa sio kwenye 90 minutes footage bali 90 x 22 minutes footage.....

Ila ndio maana nikasema kwenye Big studios kama sky ambapo kuna camera inashoot every angle uwanjani nadhani unaweza ukapata hata footage za dakika 1000 ukijumlisha camera zote kwahio wewe cha kufanya its just compiling and editing....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom