Nilidhani ni mimi peke yangu.Nashangaa sana! kichwa cha habari na mchango huu wapi na wapi?
Nashangaa sana! kichwa cha habari na mchango huu wapi na wapi?
Nashangaa sana! kichwa cha habari na mchango huu wapi na wapi?
Na baadae atawalaumu akina Sumaye, kwa kulalamika hadharani!Nadhani Uwezo Tunao kapotea njia. Turudi kwenye mada.
Kikwete anatafuta sifa bila kutumia akili. Kuwapa mawaziri maelekezo ya kazi kupitia vyombo vya habari ni dalili kuu ya rais asiyejua kazi yake
Alipopita jangwani na kuona uzio wa mabati kwanini hakumpigia simu waziri na kumuuliza? Kwanini hakumtumia waziri huo ujumbe ili atekeleze mara moja?
Pia hiyo staili yake ya kuendesha nchi inatokana na kushindwa kwake kuweka na kusimamia mifumo ya utawala wa haki na sheria katika ngazi zote. Hivi ni hadi yeye akiona kosa ndipo alalamike kupitia vyombo vya habari ndipo litatuliwe? Anapita kila kona ya nchi hii? Wananchi wote wanaodhulumiwa haki zao wanaweza kumfikia ili aagize wasaidiwe?