Open .rar File

Open .rar File

Tukufu

Member
Joined
Nov 7, 2007
Posts
9
Reaction score
0
Nimetumiwa file moja nila .rar je hili file linafunguliwa na program gani?
 
Nimetumiwa file moja nila .rar je hili file linafunguliwa na program gani?

nenda hapa upakue hl file mkuu..www.4shared.com/file/KtsNxXTv/Winrar_465_full.htm
 
Ushindwe mwenyewe hapo,malink ya kutosha mkuu.
 
Ndugu asanteni sana. Nimefanikiwa kufungua ila baada yakufungua nimekuta file zingina za .RM sijui ni program gani. Ila mtumaji aliniambia kua ni video tafadhali msaada
 
.RM ni extension ya video file, 'Real Media'.....:israel:
 
Download program ya unzip mie natumia 7-unzip inafanya kazi vizuri sana mkuu
 
pia IZArc ni nzuri, itafanyie gugol sechi
 
Asante ndugu. Nilijaribu Real Media ikawa inastack sana nikadowload VLC 1.1.5 na imekubali. Asante sana
 
Asante sana. Nimefanikiwa ilanilikutana tena na challenge nyingine nilikuta file za RM nimafanikiwa kuzifungua kwa VLC 1.1.5
 
Back
Top Bottom