Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Absolutely,.
Absolutely,.
Haha hii misamiati mingine hii..Kuna mazingira of course inabidi msijulikane
Mfano
Baba mwenye nyumba na housegirl!!
unataka lijulikane ili?
Mnaendelea kufinyana mbavu koridoni tu au car parking.
Lol!
Kwan mahusiano yote mpaka yawe hvo ila m sikiwah mshirikisha mtu kwenye mahusiano yangu mpaka ulipofika mda muafaka wa kutambulishanaNikweli lkn kuna kitu kitawaumbua tu .
Cc.Kanumba wa Lulu ...hamna alokua anajua jamaa anakula mzigo
Duuuh hata rafiki zako hawakujua??Kwan mahusiano yote mpaka yawe hvo ila m sikiwah mshirikisha mtu kwenye mahusiano yangu mpaka ulipofika mda muafaka wa kutambulishana
Sent using Jamii Forums mobile app