Open letter to all the men I loved before

Hivi nazjaz ulikuwa na wanaume wangapi vile?
 
nazjaz..... usiwe bahili,, na mimi.nahtaji unionjeshe hayo mashabshab!"""""""""
 
Kaazi kweli kweli...kwahiyo mambo ni kila nyakati na nabii wake
 
Mabwana wa JF hawachelewi kukuanzishia thread, siwataki hata kwa burungutu la dolali
sasa kama hawapo JF kiherehere cha nn sasa kuandika humu,au ndo promo unataka,,,mxxiiiiii
 
Mh mie napita, sijui hao waliondakiwa wana access na JF
 
teh teh,wa aina yao ni kama wewe so huyo jamaa yako ndo kalamba JABA
vidume waliotafuna hiyo kitumbua yako wanakuchora tu
 
Nazjaz mbona hujawataja na wale wanaotupiga ban au unaficha kwa maslahi ya JF. Paw natania tu mjomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…