😅😅😅😅🙏🙏Ila huku kwenye Kitimoto msije kabsaaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema,hizi mashine zinatoka nnje garama ni kubwa Kwa mtu Mwenye mtaji Wa laki mbili au laki na nusu Kwa uswazi hataweza kumudu mashineHizi mashine huwa nikizitazana nashindwa kuelewa, yaani utakuta ni mota tu na msumeno. Sasa kinachonishinda kuelewa ni kwa nini wahandisi wetu wameshindwa kabisa kuweka msisitizo ili tuwe na kiwanda chetu angalau kwa kipindi hiki ambapo sheria inalazimisha uwepo wa soko?
Na wao wawe na mashineKwenye bar nako vp..maana napokulaga kitimoto huwa wanaikatakata kwenye kibao Cha mbao
Kwa hili itabidi niache kula nyama aiseee. Maana wear and tear vyuma vinabaki kwenye nyama. Bora vipande vya mti kuliko chuma. Huu ni uamuzi wa kinaa kuwahi kufanyika na nina wasiwasi wao ndio wana maduka ya kuuzia hizo mashine. Kubaff kabisaaaa.
Umeme umefika kote Tanzania na ndiyo maana tuna viwanda 4000 nchi nzima., wastani wa viwanda 153 kila mkoa.Hizo mashine zinatumia umeme,vipi huko vijijini ambako umeme haujafika?