Ooooops!! WANAWAKE??...aaaaah!

MIAMIA.

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
210
81

Wanajamvi heshima na iwe nanyi nyooote...!!

Wanawake mh!! mapenzi yananisumbua sana naitaji muongozo,muongozo kuhimili hali halisi ninayo ipitia,yalikua mapenzi haswaa baina yetu-istoria ni ndefu sana tulikotoka na mpenzi wangu.
Lakini kwa ufupi mapenzi yetu yamedumu zaidi ya miaka 3 sasa,uku mwaka mmoja na miezi kadha wa kazaa tukiwa tunaishi chini ya rufu moja,toka nitoke,atoke nitoke!!
Nilimzoea sana,zaidi ya wayao yote nampenda sana naisi siwezi simama peke yangu uko mbele ya safari...
NIMEACHWA pasipo kuambiwa sababu...
NASUBILI KUAMKA TOKA NDOTONI LAKINI NAKUA NAJIDANGANYA KWANI NAIPITIA HALI ALISI NA WALA SIYO NDOTO...
NAOMBA NASAHAA ZENU NDUGU ZANGU TAJIMUDU VIPI KWA KIPINDI HIKI.
 
Tuliza kichwa chako ueleze kinachokusibu...
Ni kama unaongea mizaha mizaha vile
 
mh kweli ww mzee hash eh?
we mwana mume kweli?.....wewe waonaje uliye mwanaume?
 
paka paka mzee kivipi ndugu yangu?
nazan lengo langu ni juu ya mpenzi wangu kugeuza njia gafla tu ktk safari ya mapenzi nami...sijui niweke katika lugha ya namna gani lakini inaniumiza sana io hali kwa sasa kiasi ya kwamba sielewi elewi wat to focus on kiac i can foget hii hali
 
pole,jipe moyo wewe sio wa kwanza wala wa mwisho kupitia hayo unayopitia...:sick:
anza kusocialize na marafiki zako,mwende outing unaweza pata mwingine....
 
TIME
Time is the Best Healer.., Baada ya muda utasahau...
Jitahidi kwanini uangaike na kuumia kwa mtu ambaye hana shida na wewe na ameendela na maisha yake?
Keep yourself busy and occupied.., usiache akili yako iwe idle sababu mawazo yatarudi na utakuwa unaumia..
As a fisherman will tell you, there are plenty of fish in the ocean
 
Pole sana kaka,inauma kweli.....hauko peke yako.....take your time to heal and have fun,utapita tu kipindi hiki kigumu na zaidi utampata mwingine ukiwa umeshasamehe na kuamua kusonga mbele........kama alikuwa wako atarudi,asiporudi she was not meant for you.....
Goodluck!!
 
ohhh my.... another broken heart! easy man! kuachwa kunauma aisee asikwambie mtu na zaidi pale usiambiwa sababu ya msingi ya wmenzi wakoo kuamua kukuacha, pole sana ndio maisha hayo, well u have to face it now,n its a matter of time ul be okay,cha msingi jaribu kuwa busy na kazi, ukitoka job jichanganye na marafiki zako, usipende kujifungia ndani mwenyewe,talk about it with ur closest friends au ndugu unapenda kushare nae vitu,hangout a lot,pendelea kufanya vitu unavyopenda things of ur hobbies,eg watching movie si hata za kichina za buk bongo zipo?and kama ni yeye ameamua give her a space usimlazimishe na msms n calls maana vitakuumiza zaidi apart from that pray ,mungu hawezi kumpa mwanadamu jaribu linalomzidi uwezo wake wa kuhandle!!n again u have JF make use of it effectively, cheerz
 
daaa aksanteni sana nduguz@voiceofreason and michelle!!
Naheshim sana ushauri wenu.
 

Wanajamvi heshima na iwe nanyi nyooote...!!

Wanawake mh!! mapenzi yananisumbua sana naitaji muongozo,muongozo kuhimili hali halisi ninayo ipitia,yalikua mapenzi haswaa baina yetu-istoria ni ndefu sana tulikotoka na mpenzi wangu.
Lakini kwa ufupi mapenzi yetu yamedumu zaidi ya miaka 3 sasa,uku mwaka mmoja na miezi kadha wa kazaa tukiwa tunaishi chini ya rufu moja,toka nitoke,atoke nitoke!!
Nilimzoea sana,zaidi ya wayao yote nampenda sana naisi siwezi simama peke yangu uko mbele ya safari...
NIMEACHWA pasipo kuambiwa sababu...
NASUBILI KUAMKA TOKA NDOTONI LAKINI NAKUA NAJIDANGANYA KWANI NAIPITIA HALI ALISI NA WALA SIYO NDOTO...
NAOMBA NASAHAA ZENU NDUGU ZANGU TAJIMUDU VIPI KWA KIPINDI HIKI.

Mkuu!
Calm down, pole sana na yaliokusibu. Kaza roho, mwanamume! Everything happens for a reason. Remember; there's still plenty of fish in the sea, and life has to move on. Utampata mwingine na utamsahau huyo aliekutosa. Najua inakuuma kuachwa bila kuambiwa sababu. Lakini kumbuka wewe ni dume, regroup, reload, get up and move on. Acha kuwa weak namna hiyo bro!!
 
Jikusanye, ukaogee magadi, ujihesabu kama hujawahi hata kutongoza. Ufurahi kwa kuwa kakuacha mapema, coz angeendelea nawe who knows kama ungekuja mkamata flagrante delicto siku moja mkiwa ktk ndoa? Ah, usiumie kichwa bana.
 
mh!! jamvini kweli nimeketi.aksanteeeeeeeeeeeni kwa busara zenu ndugu zanguni.
asanteni zaidi@nyoooote.
 
Pole sana, jaribu kujichunguza na ujue sababu za huyo mpenzi wako kukuacha solemba!
 
poapoa and tks@katavi...
ingawa na vigumu sana kwa mimi kujichunguza kwani naamini yeye ndiye anaejua ni nini asa na labda ningefanya uchunguzi toka kwake lakini kwa sasa sina fulsa ata yakua nae karibu,mbio zake.
 
Mkuu jipe moyo... wewe mwanamume, ulikuwa na maisha yako kabla yake vivyo hivyo maisha yako yataendelea... Jitahidi usiruhusu huyo pepo anayekwambia kuwa huwezi kuishi bila ya huyo mwanamke akutawale, mkemee kwa nguvu zote mkuu... Kuna watu yalitukumba makubwa mara 100 ya hilo la kukimbiwa tu tukajipanga maisha yakasonga tena yamekuwa na mafanikio mara 1000 ya kipindi kile tulichokuwa wote.. Siku zote kila jambo linapotokea huwa linakuwa na maana yake.. Pole sana mkuu!!!!
 
poapoa and tks@katavi...
ingawa na vigumu sana kwa mimi kujichunguza kwani naamini yeye ndiye anaejua ni nini asa na labda ningefanya uchunguzi toka kwake lakini kwa sasa sina fulsa ata yakua nae karibu,mbio zake.

mlikuwa mmefunga pingu za maisha?
 
Polesana,chukulia ni moja ya mitihani ya maisha,mtoe kabisa ktk mawazo yako,kua makini na unatakiwa uwe bize ktk kazizako,pia fanya chaguo lingine tafuta mchumba mwengine uwenania yakweli yakumuoa usipoteze muda tafuta mwengine ambae utamuoa na utasahau yote yaliyopita.
 
zaidi ya shukrani cna ndugu zanguni lkn ninyi ni zaidi ya msaada kwangu...mawazo yenu ni mema na yananipa moyo sana.
aksanteni@mwera@hashycool@babu lao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom