sweety mbona kama ni wewe umemchokoza afu ukamuamuru akaoge muende,sasa kaoga unaleta masharti mengine.
darling, nilimwambia akaoge ili nimkimbie. Baby naomba unilinde hapa.
Darling mujini lazima utakutana na majaribu unavyoweza kuyakwepa ndio muhimu.darling, nilimwambia akaoge ili nimkimbie. Baby naomba unilinde hapa.
Mi wala chichemi najua ahadi ni deni lol!Mwongo wewe
Darling mujini lazima utakutana na majaribu unavyoweza kuyakwepa ndio muhimu.
!
Mwongo wewe
hapa itakuwaje huyu swahiba wangu umemuahidi kumpeleka sehemu,kaoga,kavaa na kujipulizia parfume ya laki 3 uache kujiingiza kwenye mitego ya hivi sawa ?baby wanaume wote wangekuwa kama wewe kesi za ndoa zisingekuwepo.
hapa itakuwaje huyu swahiba wangu umemuahidi kumpeleka sehemu,kaoga,kavaa na kujipulizia parfume ya laki 3 uache kujiingiza kwenye mitego ya hivi sawa ?
ujuage watu wa kuwatania(wakina FN na Salanga) huyu ni spidi 120 kwenye kona,siwezi mwacha home eti naenda kununua vocha inaweza kula kwangu lol!sawa my husband sirudii tena. Lol.
sawa my husband sirudii tena. Lol.
Kamanda banaaujuage watu wa kuwatania(wakina FN na Salanga) huyu ni spidi 120 kwenye kona,siwezi mwacha home eti naenda kununua vocha inaweza kula kwangu lol!
sawa my husband sirudii tena. Lol.
ujuage watu wa kuwatania(wakina FN na Salanga) huyu ni spidi 120 kwenye kona,siwezi mwacha home eti naenda kununua vocha inaweza kula kwangu lol!
Kamanda banaa
asante mpenzihapo umenena mpz