Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Mbona naona kama unaelekea bafuni ?huh.................hbu nkapunge upepo nje kidogo
sasa hivi ni mfuko wako tu mkuu,unazungumza nae kwa herufi kubwa hahaha!mzigo huu si ulikuwa wa juma nature? Sasa anao nani?
Make up ukizidisha haipendezi..
alitingisha sana jiji mwanzoni mwa miaka ya 2000 obviously she has put on a bit of weight lately and a few grams of make-up.Hivi huyo binti ni mzuri? Au am getting ol??????