mrembo mbona ni kama hausomeki vile.....unamainisha nini hapo......!!!!?
ana kosa gani mpaka tumwachie....
XoxoxoHa! Nawe umedoda Kama jina lako, usinchoshe mie..
nimekufanyisha kazi gani mrembo.mbona unataka kunisingizia jambo ambalo sijakufanyia.punguza hasira.