😂😂😂Gen-Z wakiona watasema ni jiko la umeme ama oven ya kupashia and bakeries...🤣
Kuna maduka wanauza used Kariakoo-DSM.Bongo zipo? Na zinauzwaje?
Nimeona zinatangazwa sana huko fesibuku.
Naomba mwongozo nikazione hapoKuna maduka wanauza used Kariakoo-DSM.
Pita ule mtaa nyuma ya China plazaNaomba mwongozo nikazione hapo
Aksante sana MkuuPita ule mtaa nyuma ya China plaza