Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
thanks AK kuna kipindi nilijaribu kuwa mkimya zaidi nikaambiwa kiburi
nikajaribu kuongea nikaambiwa mjuaji
ila thatha najitahidi kuwa vere nyuturo
mmh jamani haya mambo ya mahusiano magumu
FL1 nisaidie hapo kwenye nyutro unakuwaje mpendwa maana na mie hizo bold nimezieksipiriensi sana tu
inaonekana bado hujamuelewa vizui, mi nashauri uendelee tu kumsoma bila kuchoka hadi utakapomuelewa vizuri. hata kuwa neutral anawezakusema una dharau!!!!!!!
ila kumbuka always usiondoke kwenye nafasi yako kama mke.......... ni mihumu sana kubaki mke naturally throughout
here you come my dear!! akupeleke yeye afu tena aje mlale huko selo, sasa si bora mngekaa home pamoja mkaanza mchakato wa kujisuluhisha
hahaaaaaaaaaaaaaaa mama ushauri nilikumis ujue!!!!!!!!!!!1 dah wewe kweli nataka tukutane as soon as u are here kutoka huko kwetu!!!
Sio kuhusu kurudi usiku ndo uzungu....la hasha bibie yani kuna vijimambo flani sometimes nahisi ni hizi tamthilia ndo zinaleta...so Fide aliposema Isidingo ndo nikakumbuka kitu....uzungu upi mnaozungumzia hapa jamani??? urudi usiku nisikuulize, nichekelee ndo uafriza/uswahili au ndo kudumisha tamaduni
Kimey na Fide hebu wekeni wazi .............
Ni mwanamama mwenye watoto watatu 10,yrs 7yrs and 3years
Jana husband wake kamshushia kipigo cha mbwa mwizi na kumfukuza kwake saa saba usiku na wanae na kukimbilia kwangu kisa eti mwanamke anamfata fata sana hataki mkewe aulizie maendeleo ya familia ,hataki mkewe aguse simu yake na pia hataki mkewe amuulize kama hakurudi home alikuwa wapi na kwa nini amechelewa .....Hii ndio maana ya ndoa?
Mie kama mwanamke kwanini machozi yasinitoke .nimewaza na ,nimeumia sana juu ya hili labda inaweza kutokea kwangu pia..
Wanaume kwa nini mnakuwa wakatili hivi??
Hamuoni huruma juu ya watotokwa watoto wadogo wanaohitaji mwongozo wa wazazi ?
kwa nini kuwatesa watoto usiku wa manane na kuwaamsha kama wakimbizi ndani ya nyumba yao ?
Hali hii ya manyanyaso itaisha lini ??
Jamani makosa ya jinai kumpiga mwenzio......
hehehehe,,ndo maana wakasema mwanamke anapigwa kwa upande wa kanga
ukishindwa hilo u deserve kulala polisi!
Hizi kesi za kila siku kuwa fulani amuua mkewe/mumewe kwa sababu za kimapenzi mngependa ziendelee for the sake of 'kumaliziana mambo 'ya ndani'?
Nishasemaga sio kila mtu is meant to be a wife/husband in the strict sense..wengine tunaingia kwa kuiga tu basindo kisa cha haya yote...
Binamu yangu wa ukweli hebu nipe maoni ya kitaalam hapo?
Sio kuhusu kurudi usiku ndo uzungu....la hasha bibie yani kuna vijimambo flani sometimes nahisi ni hizi tamthilia ndo zinaleta...so Fide aliposema Isidingo ndo nikakumbuka kitu....
By the way mambo vp?
Mbona hizo sentensi mbili zinajicontradict?FL1,
Binafsi siungi mkono matumizi ya nguvu. Lakini kila case ni unique. Huwezi jua, hiyo ndo adhabu ilimstahiri huyo mama.
Tatizo lenu hamjui ni wakati gani wa kumuuliza mwanaume swali A B na C!
- Maisha sasa ni magumu, mumeo akiwa na elfu tano halafu wewe unamuuliza mabati ya kuezeka nyumba yetu ya Kigamboni tutanunua lini hii ni tantamount na TUSI la Nguoni!
Katikati ya Mwezi sio muda muafaka wa kuulizana "MAENDELEO YA FAMILIA"! Tegea kuanzia Tarehe 28 ya mwezi mapaka 5 ya mwezi unaofuata baada ya hapo muache andelee kulala baa (BIA za OFA hizo)!
B hivi unajua polisi ukienda na issue ya kupigwa na mume/mke wanakwambia kamalizieni nyumbani???
B hivi unajua polisi ukienda na issue ya kupigwa na mume/mke wanakwambia kamalizieni nyumbani???
Ha ha ha wala sio excuses sometime unabaki kimya tuu!! Hapo kwenye nyekundu yaani acha tuu....yah thats life!mmh hamkosagi xcuses nyie. kajisemea Nyamayao mkitakaga bifu hamkosi sababu nyie.
niko powa kama hivi tunaamka na kesi za ndoa......ndo maisha yenyewe
Hawa polisi hawajasoma sheria au mi ndo sijui sheria ya makosa ya jinai? ivi majuzi miss lundenga si amesweka lupango na king'asti wake kwa kosa la 'shambulio la kudhuru mwili na kuharibu mali'? LOL
Sasa kama unampiga mkeo ipo kwen TOR za ndoa? dah...
mmh hamkosagi xcuses nyie. kajisemea Nyamayao mkitakaga bifu hamkosi sababu nyie.
niko powa kama hivi tunaamka na kesi za ndoa......ndo maisha yenyewe
bht wewe ukikaribia ku marry niambie nikupe hizo mbinu neutral
unajua haya mambo bwana hehehe ...
Phweeee yaani hata sijui niseme nini. Pole sana mwanamke mwenzangu.
Najaribu kufikiria dunia ya kufikirika
Laiti tungekuwa twaishi dunia iso na magonjwa kama UKIMWI ambayo yanaambukiza mume wangu katu asingekuwa ananisikia nikifunua domo langu kumwuliza umechelewa usiku umetoka wapi au kuuliza alikolala.
Katu hataniona nikigusa simu yake wala kuchungulia sanduku lake la barua
Hangenisikia nikiuliza aendako wala atokapo.
Laiti tungekuwa tunaishi kwenye dunia hii ya kufikirika
Some men are evil