Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Jamani raha kupendwa lol,wapi mupenzi wangee Eiyer kuja kipande hii asali moyo wangu nishakumis mara hii. Huhuuuuu
hahaha kula au
wanaume huwa hawatumii phrase hii "sababu ya kuringa,kujidai"
sawa semenya!
Duuuh sikuwezi
tena kama wewe na unafiki wako unataka kuvuruga penzi letu kamwe hautoweza.
we unasema ni mwanaume ujue!
unakila sababu ya kuringa , kujidai kwani ninakuthamini na kukupenda wewe my ankari.
wanaume huwa hawatumii phrase hii "sababu ya kuringa,kujidai"
sawa semenya!
kweli? na hii show off ni ya nini kama si ya kutaka kufwatiliwa?tuheshimiane tabia za kutaka kuvunja ndoa za watu sio nzuri, usitufwatilie
kweli? na hii show off ni ya nini kama si ya kutaka kufwatiliwa?
Aaah bestiiii.....!!
We mtu mzima bhana, hii misuko ya vidoli doli kichwani ebu wachiege watoto! mweeeh!!!
Niko hapa switi wa moyo wange .......
Nimekumisi pia mara elfu mia nane .....!!
Duhhhhhhhhhhh!JF ni noma!!
umeona eeh!!!!Attention seeking.
Ni maradhi mabaya sana!!
Mmh nahisi umenifanyia kitu mupenzi wewe lol