Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,268
Not neccessarily,irregularity doesn't render a contract void ab initio.
Okay!...so how does that play in "who should take over kiwira" Saga?The keyword here is "potentially". At any rate, the courts may have to make a decision based on the merits of the evidence vis-a-vis relevant laws. By the way, irregularity could mean anything depending on particular law statutes: and runs the whole gamut from fraud, misrepresentation etc
Hapo kwenye red basi babuuu!!Not convinced yet. Probably I need to convince them of why their arguments are not convincing enough and why my position is better!
[/COLOR]Hapo kwenye red basi babuuu!!
Okay!...so how does that play in "who should take over kiwira" Saga?
Couldn't care less: whole point was to point out inherent logical fallacies in dude's contributions: not least of which, his penchant for taking cheap shots on whoever he's debating with by way of absurd and constant accusations of religious bigotry whenever he feels he's overwhelmed by their arguments.
Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi. Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu kwenye hii thread....
Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!
................Mwisho, kama huna cha kuchangia unaweza kusoma tu, wengi tu tunafungua majukwaa humu ndani na tukiona mambo ni mazito au hatuna ujuzi nayo tunakaa kimya. Hili la kutaka kutafuta kinga kwa mgongo wa dini tunalikemea vikali, ni ujinga unaoanza kuzoeleka na kutaka kuwatisha watu wasiseme. Dau anaweza kuwepo leo na kesho akaondoka, lakini NSSF ni yetu. Sijui kama umeshawahi kufikiri kuwa aliyemteu Dau ni MKATOLIKI Mkapa, na hakumteua kwa dini bali kwa uwezo wake, sasa udini unatoka wapi.
Tafadhali waache wenye hoja wasemezane jamvini.
Don't waste your time arguing with this Mohammedan moron "Mdondoaji". He's always the first to blame others of "udini" as you can see in his many postings, but you don't need to be an expert in Psychoanalysis to figure out that waht he's really doing is project his own "udini' feelings, and specifically his deep-seated hatred of "Wakatoliki" on otherwise very innocent people.
The other thing is, dude always tends to move the goal posts everytime he realizes he's cornered in an argument. Nobody ever stated that irregularities = illegallity/unlawfulness. On the contrary, I've read that somebody above made the connection that irregularities = "ukiukwaji utaratibu": which legally per se, could potentially lead to annulment of any legally binding agreement as null and void.
Mdondoaji,
Kwa mwendo huo hutaweza kujifunza au kuelewa hata siku moja. Ungefuatilia majadiliano hapa utagundua kuwa watu wote wamejikita katika hoja za maana tena za kufikirisha. Nitakupa mfano: Kuna mmoja wetu kauliza, je wanachama wa NSSF wanajulishwa kuhusu uwekezaji kwa vile wao ndio wadau? Hili huoni kama ni kitu cha kukusaidia hata wewe binafsi kama mchangiaji wa NSSF.
Kuna bw. kauliza, je fedha za NSSF ni za nani? Tukaambiwa ni za private, ikaletwa article ya kuoyesha ni za umma. Je wewe ulijua hilo au ulikuwa confused kama aliyesema ni za watu binafsi. n.k
Hakuna mahali ametajwa Dau ila wewe ndiye unapandikiza hizo chuki. Ukiwa na mbegu za udini usitake watu waamini hivyo, hapa wapo watu wa dini tofauti lakini wenye uweledi yakinifu. Ninakuhakikishia kuwa kama ungekuwa unaijua structure ya NSSF from top to bottom ungeona aibu kwa haya unayosema.
JF inajadiliwa mada ya aina yoyote, kama unalo juu ya CRDB au PPF weka jamvini, nakuhahakikishia itajadiliwa na kupewa heshima yake kikamilifu. Lakini hatuwezi kuwa wapungufu wa fikra kwa kuzusha tu kuwa PPF wamewekeza kiwira ili tupate cha kujadili, wala hatuwezi kuisema CRDB kwa uzushi tu bila ya kuwa na mada. Hii haikuzui wewe au mwingine kuleta hoja, weka hoja jamvini.
Tumeshawahi kujadili ATC, TRC, STAMICO n.k sasa huko nako unasemaje.
Mwisho, kama huna cha kuchangia unaweza kusoma tu, wengi tu tunafungua majukwaa humu ndani na tukiona mambo ni mazito au hatuna ujuzi nayo tunakaa kimya. Hili la kutaka kutafuta kinga kwa mgongo wa dini tunalikemea vikali, ni ujinga unaoanza kuzoeleka na kutaka kuwatisha watu wasiseme. Dau anaweza kuwepo leo na kesho akaondoka, lakini NSSF ni yetu. Sijui kama umeshawahi kufikiri kuwa aliyemteu Dau ni Mkapa, na hakumteua kwa dini bali kwa uwezo wake, sasa udini unatoka wapi.
Tafadhali waache wenye hoja wasemezane jamvini.
Wewe na wenzako ndio wadini kazi yenu kuchonoa NSSF huku mkiiacha PPF mnajidai eti PPF aanze mwengine. Aanzishe mwengine my foot kazi kuzungumza siasa zisizo na maana yeyote wala faida ya msingi.kwenye hii thread....Msijidai kutudanganya bure hapa hoja yenu ni udini tu kumuandama Dr Dau wakati ndugu zenu kule PPF na CRDB wanavurunda lakini mnayaona ya NSSF upuuzi mtupu humu
Na kwa kujibu hoja ya hiyo taarifa ya CAG inasema na nanukuu:-
Je nikuulize irregularities ndio maana ya uvunjaji wa sheria? Kama irregularities ilitokana na kwamba wanunuzi hawakuwa na karatasi husika je tusemeje? Na hiyo inahusiana vp na uwekezaji wa NSSF nionyeshe wapi wamevunja sheria za nchi katika uwekezaji? Jisafisheni nyie kwanza ndio muende NSSF. Acheni ubaguzi wenu wa kidini!!!
- • There were irregularities associated with Sale of Executive Apartments at Ada Estate
Kinondoni, including signing of disposal contract and costs linked to delayed payments by the buyer.
• Management sold one of NSSF's landed asset namely ‘Club Oasis' without observing
competitive disposal procedures/method. In the circumstances, there is no proof that the
sale price was the most attractive.
• There were cases of irregular signing of procurement contracts contrary to section 33 (h)
of the Public Procurement Act, 2004; which gives the Chief Executive Officer exclusive
mandates of signing procurement contracts on behalf of the procuring entity.
• The process of procurement of services from a security company, contravened Section 65 of the PPA, 2004 and its Regulations since
a. Je NSSF wamekosea wapi:- Hili swali hamjalijibu tangia muanze mjadala badala yake ni speculations tu na tuhuma zisizo na msingi.
b. Pili evidences za tuhuma:- Kuna mtu hapa ameomba mpaka financial statements za NSSF kwani asitafute ofisini mwao au katika vyama vya wafanyakazi? Until now there is no evidence whatsoever about embezzlements. Badala yake again ni speculation.
Dr Dau hajatajwa but who heads NSSF? why all the interest ziende kwa Dau wakati kimtazamo wangu this DG is just investing kupanua mfuko kwa kutake risks on investing? To me kinachoendelea PPF ni hatari zaidi kuliko NSSF maana pesa zetu zinaenda mifukoni mwa watu sio huyu anayewekeza.
Hili ni suala la 'brain storming' na si la 1+1=?.
Kama ulisoma post ya Kobello, yeye anasema mafisadi wa wall street wamemtia hasara katika kitu kinaitwa 401K. Katika mjadala tumeona kuwa NSSF ni pesa za umma wewe na mimi tukiwemo.Anguko lake ni anguko letu kama lile la 401 ya Kobello.
NSSF imejiingiza katika mradi wenye utata, ambao mmiliki hajulikani, mara Tanpower, mara serikali mara STAMICO ilimradi tu kuna vurugu fulani za kifisadi. Unakumbuka PM Pinda alivyoliepusha jambo hili na Anne Makinda hataki kulisikia Bungeni, wewe unadhani ni nini. Hawa wanajua kuwa kuna uchafu mkubwa. Sasa NSSF inapokimbilia haraka kuwekeza pesa zetu, tena tukijua kuwa kuna utata, hapo inafikirisha.
Watu wanaonyesha wasi wasi kwanini NSSF imejiingiza kwenye sekta ya nishati hasa umeme, na ni huko huko mafisadi wameua Tanesco, kama shirika la umma litasalimika vipi na wezi hao. Ndio maana watu wanasema ingekuwa rahisi kusafisha kile kilichopo na NSSF wawekeze kwa Tanesco, tena si kiwira tu hata umeme wa dharura n.k kama wadau walivyochangia. Haya ni kwa uchache tu kukufafanulia kuwa hakuna jibu la 1+1=? katika masuala yanayohitaji analysis.
Ama kuhusu Dau, hapo ndio umekosea, eti kwasababu DG ni Dau na mada ni NSSF basi anashambuliwa! hii ni paranoia ya hali ya juu sana.Unachotaka kusema,kwa vile mkurugenzi wa ATC na Mwenyekiti wa bodi ni waislam basi ikisemwa ATC inaandwamwa. Huu ni ugonjwa hatari sana ndugu yangu, fikiri tunapoongelea Tanpower(Mkapa na Yona) wanashambuliwa wakristo! Tukiongelea Richmond ya Lowassa wanashambuliwa walutheri, tukiongelea PPF wanashambuliwa wakristo.
Mdondoaji, huu ni ugonjwa mbaya sana na unahitaji ushauri ndugu yangu.
Mimi ni ninapinga vikali sana mambo ya udini na nachukia sana hata kuandika tu kuhusu haya.
Inabidi ufikirie zaidi, NSSF ikiingia mkenge na miradi ikafa ni pesa yako. Dau hakujui wewe kama Mdongoaji bali mteja. Kobello kaonja joto 401 sasa huko nako yupo Dau!.
Madudu ya Dowans bili umeletewa wewe, madudu ya IPTL bili umeletewa na unalipa wewe, madudu ya Kiwira kodi yako imemlipa Yona na Mkapa. Ni wewe na mimi si dini zetu, watu wakichukua 10% familia zao zinaishi kwa raha kama ya Chenge, wewe mdondoaji unayetetea udini unamenyeka tu na bei kubwa ya umeme nyumbani , msikitini au kanisani.
Usitetee kitu kisichokusaidia katika maisha yako, sijui kama Dau anakujua wewe!! kama si pesa yako ya NSSF.
Hatuhitaji viongozi kwa majina au imani zao bali uwezo wao wa kuongoza. Mdondoaji maneno yako yanaidhalilisha jamii unayoiwakilisha na si amini kuwa jamii hiyo inafurahia au kukuunga mkono kwa hoja nyepesi kuwa NSSF ikisemwa ni DG ambaye anaitwa Ramadhani anaandamwa. Inferiority complex ni kitu kibaya sana, inaondoa confidence na kujenga paranoic society. Labda nikuulize kwa Ramadhani Dau kuwa muislam inasaidiaje?? na kama angekuwa mkristo ingeathiri vipi. Tusaidie kujibu haya, maana inaonekana DG kuwa dini fulani kuna mafao fulani, please tuambie.
Nimekushauri, angalia structure ya NSSF top to bottom halafu upime maneno yako kana uliyaandika kwa kufikiri au kusikia tu vijiweni.
Ukijikwaa angalia sababu iliyokuangusha!!. Wewe ni matunda ya chuki za mzee aliyeandika kitabu akashindwa kujibu hoja huku akitaka tuamini tu maandiko yake, kama unavyotaka tuamini kuwa DG anashambuliwa kwa imani na si NSSF.
Hili ni suala la 'brain storming' na si la 1+1=?.
.......................

Unanikumbusha akina Kyoma, Kuhani, Dilunga, Mtanzania, Fundi Mchundo, Kimweri, Pundit, Bluray, Lunyungu........daah