Ooh! Baby, Oooh! Baby

Price

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
1,502
Reaction score
922
Oooh! Baby, my Baby...
oh baby,oh baby
i see me in your eyes
oh baby,oh baby
i see love in your smile
you tell me kuchi kuchi ah
i understand
you tell me kuchi kuchi ah

Naupenda sana huu wimbo, umeimbwa na Jodie
 
Kweli ni nzuri tena sana japo Kuwa malengo yake yalikuwa kama kweli ni kumuimbia
Mtoto.?au laah!
 
Kiukweli sichoki kuusikiliza! mwenyewe anadai alimwimbia mwanawe ila hiyo ya kuchi kuchi ah! me sijuwi bwana!!
 
Labda kweli kamuimbia mwanae na hilo neno Kuchi Kuchi linaweza kuwa na maana tofauti kwa lugha ya kwao tofauti na ile ya kihindi.
Hili neno kwa wengine maana yake ni..
Kuchi
The males G-spot
The space between a Males
balls and asshole 'Kuchi'

kuchi
vagina. See also: koochi .
Origin: kuchi is a Japanese
word meaning mouth.
"I be poppin' in the kuchi." (I
am always having sex.)

Au inawezekana akawa anamaanisha yale maneno mzazi amwambiayo mtoto wake ili kumfanya asilie au acheke i.e "Kuchi kuchi kuu"
Inategemea na mazingira ya maneno hayo yanapotumika.

"Nlikuwepi":bolt:
 
its a hit, yaan kila nikiuskia napata mizuka ya kunywa uji wa mchele
 
thank u for that
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…