Mshikemshike
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 421
- 210
Tunashukuru kwa taarifa mtoa mada
Habari za siku Mingi ?
Leo nilikua pale ubungo darajani stand,maeneo haya ni maeneo yangu ya kujidai kabisa toka 2006 napajua ubungo vizuri na washenzi wote wa pale tena enzi za Hamidu mzawa.
Leo naomba nikujulishe wewe mtanzania unaetumia kituo kile ni kwamba kimejaa wasafiri wengi feki,kuna vijana kama thelathini wao hushinda pale kama wasafiri kumbe ni wezi tu,na huwa wana vibegi mgongoni kazi yao kubwa ni kuiba tu.
Kama wewe ni mtumiaji wa eneo hilo kuwa makini sana.Leo nilikaa pale Masaa matatu nikaona walivyo na network yao kubwa.
Kuweni makini.ukifika pale angalia vijana waliovaa mabegi mgongoni wanapokimbikia gari huwa hawapandi.
Yang hayo.
Zubedayo_mchuzi MZEE kutembea mpk chalinze.[/Quote
Kwa nini ukae masaa matatu?
Acha hizo sasa unatetea wezi, mwenzio kakaa kituoni kwa ajili ya uchunguzi we unaleta ungese, au hujui lolote kichwani mwako"ulikaa pale masaa 3"?
Uliwaona wezi wanavibegi mgongoni wanapokimbilia gari huwa hawapandi!!!
Hapa mimi napata mshangao, watu waliopita leo darajani wakienda nakurudi wakikuona umekaa kwa muda wa Masaa 3 watakufirikiaje?
Sasa wewe na wale waobeba vibegi mgongoni japo wanakimbilia gari na hawapandi ninani kati yenu atakuwa mshukiwa?
Duu watu ma ExpertMnajuwa kazi ya vile vibegi? Kazi yake ukiwa umekaa kwenye siti ukawa makini utaona wanaume wengi huweka pesa mfuko wa nyuma hivyo basi lile begi hujifanya kukuwekea pale matakoni na kujifanya kabanwa huku likiwakinga abiria wasione mkono wake unavyo kuchomolea pesa makonda wengi wanawafahamu waungwana huwafukuza wengine ni sehemu ya michongo hiyo kuweni makini mnapopanda DALADALA lilojaa kupita kiasi
Ahaaa matusi mipasho fahari yako "uchafu wa kinywa ndio tafsiri mtu alivyo"Acha hizo sasa unatetea wezi, mwenzio kakaa kituoni kwa ajili ya uchunguzi we unaleta ungese, au hujui lolote kichwani mwako