Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Natoa onyo kwa magaidi walioshambulia CDM soweto,walioshambulia Olasiti.Wasijifiche ktk migogoro na matamko ya kupika dhidi ya viongozi wa CDM na kuwashambulia Viongozi wa CDM wanaokwenda ziarani.NI hatari kuliko wanavyoweza dhani.Na km kawaida itatibuka vibaya.Thisi time watanzania hawatapenda ukimya wala majibu mepesi km wanavyodhani hawa jamaa.
wakifanya makosa hayo,this time Lazima jumuia ya kimataifa na mataifa makubwa yaitake ikulu ya mogogo itoe maelezo ya haya mambo,na kuhitajika wawajibisha watu na kuwajibika wenyewe.Majibu ya kijinga jinga na ukimya unaofuatia sijui km vitawaficha tena watawala
Ni onyo tuu.