Onyo:Ni hatari magaidi wa SOWETO kujificha ktk issue za CDM kushambuliwa viongozi wake ktk Ziara

CCM bado wanatamani sana kufanya ya soweto.....CDM sasa inabidi muwe Aggressive, mtangaze haya amambo nchi nzima.Mnyika Dar ayatolee ufafanuzi ktk press.
 
Natoa onyo kwa magaidi walioshambulia CDM soweto,walioshambulia Olasiti.Wasijifiche ktk migogoro na matamko ya kupika dhidi ya viongozi wa CDM na kuwashambulia Viongozi wa CDM wanaokwenda ziarani.NI hatari kuliko wanavyoweza dhani.Na km kawaida itatibuka vibaya.Thisi time watanzania hawatapenda ukimya wala majibu mepesi km wanavyodhani hawa jamaa.

wakifanya makosa hayo,this time Lazima jumuia ya kimataifa na mataifa makubwa yaitake ikulu ya mogogo itoe maelezo ya haya mambo,na kuhitajika wawajibisha watu na kuwajibika wenyewe.Majibu ya kijinga jinga na ukimya unaofuatia sijui km vitawaficha tena watawala

Ni onyo tuu.
Bwana Nicolas hilo onyo unamwonya nani????? na akidharau hilo onyo utafanya nini????
wacheni mikwara ya kutishana nchi hii ni zaidi ya unavyoijua
 
Back
Top Bottom