Onyo:Ni hatari magaidi wa SOWETO kujificha ktk issue za CDM kushambuliwa viongozi wake ktk Ziara

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Natoa onyo kwa magaidi walioshambulia CDM soweto,walioshambulia Olasiti.Wasijifiche ktk migogoro na matamko ya kupika dhidi ya viongozi wa CDM na kuwashambulia Viongozi wa CDM wanaokwenda ziarani.NI hatari kuliko wanavyoweza dhani.Na km kawaida itatibuka vibaya.Thisi time watanzania hawatapenda ukimya wala majibu mepesi km wanavyodhani hawa jamaa.

wakifanya makosa hayo,this time Lazima jumuia ya kimataifa na mataifa makubwa yaitake ikulu ya mogogo itoe maelezo ya haya mambo,na kuhitajika wawajibisha watu na kuwajibika wenyewe.Majibu ya kijinga jinga na ukimya unaofuatia sijui km vitawaficha tena watawala

Ni onyo tuu.
 
Mkuu, saka ondoa, intelligence ya CDM ipo juu kuliko hata hao usalama wa taifa.

Daima tunaanza na Mungu na tutashinda na Mungu!
 
Mkuu, saka ondoa, intelligence ya CDM ipo juu kuliko hata hao usalama wa taifa.

Daima tunaanza na Mungu na tutashinda na Mungu!

km kawaid ayao wanaweza jidanganya kuwa watalazimisha km gesi ya mtwara,km issue ya kuwalipa dowans, na issue nyingine ...wakdhani thisi time around hili linawezekana na kwa vile wamenunua magazeti n akuyafanya ya hovyo basi wataweza potezea watu.
 
Mkuu, saka ondoa, intelligence ya CDM ipo juu kuliko hata hao usalama wa taifa.

Daima tunaanza na Mungu na tutashinda na Mungu!

Kama CDM ipo mikononi mwa Mungu,basi Shetani hawezi kudhubutu kuomba lift kwao.
 
tutaweka dvr..

haha...utawamaliza..Si ujakumbuka post ya Mungi..moja tuu ilibadili hali ya hewa,ikakata comedies za magamba,polisi ,usalama, msajili wa vyama na magazeti ya bei rahisi..
 
Kwasasa hakutoteka. Kwani siunafahamu yule MM anakwenda kushika chaki! Kwahiyo mwigulu atalazimika atafute timu nyingine ya kuunda mtandao wa kigaidi dhidi ya wanachama na viongozi wa kichama.
 
DVR zishawekwa nasikia siku mbili zilizopita kuna Makamanda wanazunguka na piki piki kama boda boda kumbe ndio ulinzi wa DVR wenyewe na Kutafuta tips mbili tatu juu ya hujuma za Magamba...kweli CDM noma aiseeee
 
tunasema hivi , atakayejaribu atakiona cha moto , ujinga ni wakati wa kwenda tu !
 
Natoa onyo kwa magaidi walioshambulia CDM soweto,walioshambulia Olasiti.Wasijifiche ktk migogoro na matamko ya kupika dhidi ya viongozi wa CDM na kuwashambulia Viongozi wa CDM wanaokwenda ziarani.NI hatari kuliko wanavyoweza dhani.Na km kawaida itatibuka vibaya.Thisi time watanzania hawatapenda ukimya wala majibu mepesi km wanavyodhani hawa jamaa.

wakifanya makosa hayo,this time Lazima jumuia ya kimataifa na mataifa makubwa yaitake ikulu ya mogogo itoe maelezo ya haya mambo,na kuhitajika wawajibisha watu na kuwajibika wenyewe.Majibu ya kijinga jinga na ukimya unaofuatia sijui km vitawaficha tena watawala

Ni onyo tuu.

Inaonekana una mkakati wa kufanya mauaji halafu unatanguliza ngonjela
 
hiyo ndiyo kiboko yao .

Kamanda nasikia....DVR zishawekwa nasikia siku mbili zilizopita kuna Makamanda wanazunguka na piki piki kama boda boda kumbe ndio ulinzi wa DVR wenyewe na Kutafuta tips mbili tatu juu ya hujuma za Magamba...kweli CDM noma aiseeee
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAMKO LA KIKAO CHA MKOA – CHADEMA, PAMOJA NA BAADHI YA VIONGOZI WA MAJIMBO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao kilichofanyika ofisi ya Mkoa
Ujiji kilibeba AGENDA ya Kujadili
na Kuboresha ujio wa ziara ya
Katibu Mkuu (T) Dr. P. Slaa
Mkoani Kigoma 5/12/2013
- Ambapo atatembelea majimbo yote 8 ya mkoa Kigoma kwa
mikutano si chini ya miwili kwa
kila jimbo na baadae mkutano wa
mwisho, jioni Mkutano ufanyike
makao Makuu ya Jimbo. Lengo
likiwa kuangalia uhai wa chama.- Mambo makuu na muhimu
yalizingatiwa- Usalama kwa
Kiongozi huyo kufutia sakata la
Maamuzi ya kamati kuu dhidi ya
Mhe. Zitto na mapokeo ya
wanachama wetu. - Kutoa taarifa rasmi kwa majimbo
na kupokea hali ilivyo au
inavyoonekana katika maeneo
yao.- Baada ya Tafakuri ya kina
na ya Hekima na Busara pevu
katika ujio huo iliazimiwa ifuatavyo:-
i. Mkoa uliomba Taifa lihairishe na
kusogeza mbele tarehe ya ziara
hiyo muhimu kwa mkoa wetu, ili
Mkoa kama ngazi ya chini ya
Kanda na Taifa uwezekwenda katika majimbo hayo na
kuwaelimisha wanachama na
wapenzi wetu juu ya kuheshimu
na kuwa na nidhamu na maamuzi
yatolewayo na ngazi ya juu yetu.
Hata kama yanamaumivu ….katiba yetu ifuatwe katika
kutatua tatizo – Maoni ya Wengi
Mkoani na Viongozi wa Chama ni
kuudhiwa na maamuzi ya k/kuu
ambayo dhahiri yalilenga kumilika
Zitto – Kisiasa. ii. Mkoa ulitishika na vitisho baada
ya kupokea taarifa toka kwa
baadhi ya viongozi wa majimbo ya
mkoa kwa hali ya usalama si nzuri
kwa ujio wa kiongozi wetu Dr. Slaa
kufika Kigoma kwa kipindi hiki wakati wanachama na wapenzi
wakitafakari na kwa kauli tofauti
zisizolenga kuwepo usalama.
iii. Kwa hekima ya kikao
kilijiridhisha kwa kupata maoni
toka katika majimbo 6 kuwa hali ni mbaya kabisa wakishauri Katibu
mkuu asogeze mbele ziara yake
kupisha mtafaruku huu na kwa
usalama wa Chadema na viongozi
wake Kitaifa.
iv. Hivyo Mkoa kupitia kikao hicho kuwa ni bora kuzuia kuliko kutibu,
tayari sintofahamu zimeonekana,
viongozi na hasa wa majimbo
kutofautiana mitazamo ni HATARI
katika hali hiyo. Mkoa ulijiridhisha
usalama hautakuwepo kwa ujumla hata kama baadhi ya majimbo
yakisema wao wapo salama tu.
v. HOFU/TAHADHARI - Endapo
hali haitokuwa salama Mungu
apishe mbali.
Mkoa hautokwepa lawama na Uzembe wa makusudi kwani
wajibu wa ngazi ya chini ni kutoa
ushauri kwa ngazi ya juu. Hivyo
mkoa unatoa ushauri kwa Makao
Makuu (T) Chadema kusogeza
mbele ziara hiyo hadi hali itulie na mkoa upite majimboni kujiridhisha
na usalama kwa viongozi wake na
hasa wa Taifa. LENGO KUU: NI KUHAKIKISHA CHADEMA TUNAPITA SALAMA
KATIKA WAKATI HUU MGUMU
KWETU – CHADEMA
Asanteni ALHAJ. JAFARI KASISIKO
MSAFIRI WAMALWA
M/KITI MKOA 01/DEC.2013
KATIBU MKOA
 
Hakuna tamko kama hilo! huo ni uhuni wa wahuni wa ccm na mamluki wao wanaojivisha ngozi cdm. wale magaidi kama wa soweto wakithubutu awamu hii ni jino kwa jino tutazaa nao haki ya mama!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom