ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

Watu wengine bwana!!! Cdm wakiwa na mkutano usipofurika watu "Cdm imekosa mvuto", watu wakifurika "Hawakua na kazi zakufanya" Jamani!!! mbona onyo hili ni baada ya Cdm kufanya mkutano wa kihistoria Mwanza? Watanzania wa leo sio wa jana.. Wanajitambua na haohao WAPINZANI ndio wamewafungua macho, kupitia MIKUTANO na BUNGE...

Nimefuatilia mkutano leo! Hata sura za wananchi zinaonesha ziko pamoja na wanachokisema viongozi wa CDM... Penye ukweli tukubali tuu... CHADEMA Mwanza mmeonesha umwamba wenu leo... Hongera sana.

Upo sahihi mkuu, mwanza shikamooni, jana nimewakubali asee
 
Cjaona point yako ya msingi hapo ni ipi?? Wale walikusanyika kwa magufuli ndiyo wenye kazi? Ikifika sehemu na cc tuwe tunakubaliana na ukweli, mimi ni mwana ccm ila kwa jana nilitoa salute kwa chadema mwanza
 
Na hili la Watanzania wengi kukosa kazi ni kutokana na mipango mibovu ya serikali ya ccm ambayo toka uhuru haina mipango ya muda mrefu na mfupi wa ajira kwa wananchi. Badala yake wako busy kuwatafutia watoto mali na wawekezaji wa kuwalipa 10% kwa ajili ya maisha mazuri ya familia zao.

Wamebaki tu kupiga kelele tu Watanzania msiichezee amani, kumbe wanajua amani ikitoweka hata mali za watoto wao hazitakuwa salama, tutaanza upya wote.

Yaani mimi mwenyewe huwa ninashangaa sana. Kila ukienda kwa watendaji unakuta wana vikao, kila siku ni vikao lakini utekelezaji ni duni ile mbaya. Sasa kama kila siku wanafanya vikao na bado hawaji na suluhisho la matatizo ya wananchi vikao vya nini?
 
Wewe waache watu waendelee kubweteka. Wajanja tunalijua hilo na kwa bahati mbaya hawajifunzi. Majuzi tu hapa kuna watu walitumia helikopta 3 kule kalenga na watu wakajaa sana lakini hawakujua kuwa walikuwa wanakuja kushangaa chopa, kwenye uchaguzi wakapata 20% tu pamoja na nyomi nyote waliokuwa wanaiona.

usifananishe kipindi kile na sasa anza tafiti zako uchaguzi huu ndio utakua sahihi baada ya bvr bila kuwakata wengine majina
 
mkuu mimi wala sihitaji kufanya uchunguzi maana ninakazi yangu inayoniingizia kipato bila kujali ni nani atakayeshinda huo uchaguzi. kwa hiyo sina huo muda wakufanya kazi ambayo hainilipi. nitabaki humuhumu jukwaani kueleza kile ninachokina,
mfano, kwenye uchaguzi wa kalenga watu walijaa sana lakini chadema hawakujua kuwa walikuwa wanaenda kushangaa chopa. kwenye kura waliambulia 20%. kwenye kata 27 zilizogombaniwa chadema walitumia chopa 3 na wakapata kata 3 tu.
tukutane october humu humu.
 
Elewa hivi hao uliowaona mwanza Jana hawajasombwa na malori. wamekuja kwa nauli zao . miguu yao , kwa hiyo elewa hivyo mkutano ulikuwa realistic.
 
Wadau Hali zenu:

Napenda kuwazindua kwamba msizuzuke na uwingi wa watu majukwaani. Hii ni kwasababu Watanzania hawana kazi za kufanya, wengi wao hutumia mikusanyiko kama sehemu ya kujifariji na kujichanganya. Sio kama wanaokuja kwenye mikutano ya siasa kwamba ni wapigakura au washabiki wa mgombea fulani, la hasha, kuna kundi kubwa ambalo halina msimamo wowote ule. Akisikia Magufuli atakuja, akija Zitto atakuja, akija Slaa atakuja, na wengineo.

Kama ukitaka kujua, wewe toka nje ya nyumba yako na mke wako anzeni ugomvi fake tu, au wakemee watoto wako live watajaa Wabongo kibao.

Natamani Watanzania tungekuwa na aina ya tafiti ambazo zitatoa tathmini ya watu hawa ambao huenda ni wengi kuliko wanasiasa. Kuna watu Bongo wanapiga kura kimaslahi. Mfano anajua kama CCM itaendelea kuwepo basi baba yake ambaye ni mteuliwa sehemu fulani ataendelea kuleta riziki nyumbani. Hawa watu hawana sera. Pia wapo ambao dili zimeshindikana kwa kuwa CCM wanambania. Hawa hata Magufuli nani aseme nini lazima watapigia against.

So please tunapopiga kampeni, tusisahau or kutosheka kwakuwa watu wanafurika. Mrema alisukumwa mara kadhaa akaishia chaka...

Msijesema sijawatahadharisha!!
Mandokwa me.

fafanua mkuu una maanisha nini
 
Umewatukana watanzania kwamba wanaoenda katika mikutano hiyo wengi hawana kazi. Je, hao wanahutubia wao wana kazi???
 
Wadau Hali zenu:

Napenda kuwazindua kwamba msizuzuke na uwingi wa watu majukwaani. Hii ni kwasababu Watanzania hawana kazi za kufanya, wengi wao hutumia mikusanyiko kama sehemu ya kujifariji na kujichanganya. Sio kama wanaokuja kwenye mikutano ya siasa kwamba ni wapigakura au washabiki wa mgombea fulani, la hasha, kuna kundi kubwa ambalo halina msimamo wowote ule. Akisikia Magufuli atakuja, akija Zitto atakuja, akija Slaa atakuja, na wengineo.

Kama ukitaka kujua, wewe toka nje ya nyumba yako na mke wako anzeni ugomvi fake tu, au wakemee watoto wako live watajaa Wabongo kibao.

Natamani Watanzania tungekuwa na aina ya tafiti ambazo zitatoa tathmini ya watu hawa ambao huenda ni wengi kuliko wanasiasa. Kuna watu Bongo wanapiga kura kimaslahi. Mfano anajua kama CCM itaendelea kuwepo basi baba yake ambaye ni mteuliwa sehemu fulani ataendelea kuleta riziki nyumbani. Hawa watu hawana sera. Pia wapo ambao dili zimeshindikana kwa kuwa CCM wanambania. Hawa hata Magufuli nani aseme nini lazima watapigia against.

So please tunapopiga kampeni, tusisahau or kutosheka kwakuwa watu wanafurika. Mrema alisukumwa mara kadhaa akaishia chaka...

Msijesema sijawatahadharisha!!
Mandokwa me.

kweli ww GT kuna watu humu wameshalidhika na uwingi wa watu wanaohudhuria na wanajihakikishia kuwa ndio njia ya kuingia ikulu. Tusubibir tu kisanduku
 
Na hili la Watanzania wengi kukosa kazi ni kutokana na mipango mibovu ya serikali ya ccm ambayo toka uhuru haina mipango ya muda mrefu na mfupi wa ajira kwa wananchi. Badala yake wako busy kuwatafutia watoto mali na wawekezaji wa kuwalipa 10% kwa ajili ya maisha mazuri ya familia zao.

Wamebaki tu kupiga kelele tu Watanzania msiichezee amani, kumbe wanajua amani ikitoweka hata mali za watoto wao hazitakuwa salama, tutaanza upya wote.

ww jidanganye. Kama huwaandalii watoto wako maisha kwa kutegemea kuwa serikali ndio inatakiwa iwaandalie endelea kula komon uone pusi ww.
 
teh! teh! teh! Kunya anye kuku tu akinya bata, kaharisha! Mtaelewa tu lakn
 
mkuu mimi wala sihitaji kufanya uchunguzi maana ninakazi yangu inayoniingizia kipato bila kujali ni nani atakayeshinda huo uchaguzi. kwa hiyo sina huo muda wakufanya kazi ambayo hainilipi. nitabaki humuhumu jukwaani kueleza kile ninachokina,
mfano, kwenye uchaguzi wa kalenga watu walijaa sana lakini chadema hawakujua kuwa walikuwa wanaenda kushangaa chopa. kwenye kura waliambulia 20%. kwenye kata 27 zilizogombaniwa chadema walitumia chopa 3 na wakapata kata 3 tu.
tukutane october humu humu.

jana ulikiri unaichukia sana cdm, kisa walimtenda Zitto. Uchaguzi ule wa marudio kils mtu anafahu lilitumika daftari ambalo tume imekiri lilikuwa limeharibiwa sana. Kipimo kilikuwa uchaguzi wa s/m nadhani uliona kilichotokea achia mbali mizengwe ya uandikishaji na ushindi wa point za mezani a.k.a mapingamizi. Uko kichuki zaidi na lazima utakuwa mzee au kijana anayefaidika na mfumo huu. Hivyo uchangiaji wako lazima utakuwa ni wa mazoea ya huko nyuma yakiiongozwa na chuki zaidi.
 
ungejua nisivyoipenda ccm wala usingethubutu kuandika haya.
chadema wamenibore baada ya kuendekeza upumbavu wao. na nikiri kweli naichukia kabisa labda uongzozi huu unaoongoza kupitia maelekezo kutoka tengeru ubadilike. sijawahi kupigia kura yangu ccm tangu 1995 lakini mwaka huu ikilazimu nitafanya hivyo. ni uendawazimu kupeleka vichaa ikulu. tutaingia kwenye vurugu za kujitakia.

jana ulikiri unaichukia sana cdm, kisa walimtenda Zitto. Uchaguzi ule wa marudio kils mtu anafahu lilitumika daftari ambalo tume imekiri lilikuwa limeharibiwa sana. Kipimo kilikuwa uchaguzi wa s/m nadhani uliona kilichotokea achia mbali mizengwe ya uandikishaji na ushindi wa point za mezani a.k.a mapingamizi. Uko kichuki zaidi na lazima utakuwa mzee au kijana anayefaidika na mfumo huu. Hivyo uchangiaji wako lazima utakuwa ni wa mazoea ya huko nyuma yakiiongozwa na chuki zaidi.
 
Kwa hiyo kumbe ule umati ulioenda kwa magufuli hauna maana.....amankweli Lowassa akienda ipinzani ccm kwisha habari yake asubuhi na mapema
 
ww jidanganye. Kama huwaandalii watoto wako maisha kwa kutegemea kuwa serikali ndio inatakiwa iwaandalie endelea kula komon uone pusi ww.

Pus babako na mamako wewe kila mtu humu unamuona mlevi kama alivyo babako na mamako
 
Back
Top Bottom