ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

ONYO: Msizuzuke na wingi wa watu majukwaami

Masonjo, umesema kweli na kama ni idadi ya watu hapo walikuwa wengi zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mrema hakushindwa ktk vote ballot, alishindwa kupitia KITENGO. CUF Zanzibar hawajawahi kushindwa kupitia vote ballot, ni KITENGO kupitia dola huwapoka ushindi. CDM 2010 hawakushindwa kupitia vote ballot, KITENGO kilekile kilifanya kweli. Kama uchaguzi utakuwa FREE & FAIR, really free & fair, ccm itagaragazwa asubuhi tu hata na TLP ya Mrema. Kwa vile liccm limekubuhu kwa mbinu chafu unataka kutuaminisha huo ----- . Hata kama wabongo ni hamnamo, ndo kwa kiwango hicho ?! No thanks.
 
Wala usipate shida kuna ambao wamevuka maji kwa kupanda mitumbwi na wamekuja mwanza pia kuna waliotoka msoma kWa Bulaya na kahama kwa Lembeli wote wamekusanyika hapa mwanza leo
 
Naona mnaanza nitafutia sababu za kuiba kura... Jibu mbona rahisi sana, kama wanaohudhuria ni jobless...why wanaohudhuria kwa wingi na bila kushawishiwa kwenye mikutano ya chadema na si ccm? Na ni hao hao watakaoiondo ccm oktoba..stay tuned
 
Umeandika vizuri na huo ndo ukweli, kuhusu Mrema, moja ya mambo yanayofanya wapinzani washindwe uchaguzi ni kukubali kufanya uchaguzi chini ya tume ambayo ni sehemu ya CCM.

Hata pale wapinzani walipoonekana kushinda tulikuwa tunawaambia watangaze- Kinana
 
Vipi kuhusu kadi zilizorudishwa jana nao siyo wana siasa? Halafu onyo hilo ni kwa Cdm pekee yao tu au hata na upande mwingine? Aliandika hapa hapa Mwanadiwani kuwa mkutano wa CCM Mwanza ni wa kihistoria na haijawahi kutokea hatukuona hii tahadhari yako
 
tusubiri wagombea wa ukawa kuwekewa mapingamizi na magambaz ili wapite bila kupingwa
 
Nenda wewe uitishe mkutano, au waambie tlp waitishe uone kama watajaa...
 
Wengi wa watu hawajiandkisha kupga kura hilo pia vyama vya siasa vilitambue kwahyo kuja kwa wing mkutanoni n kudanganyana
 
SALUTE mkuu... upo sahihi kwakutoa mfano hai

Tofauti ni kwamba hao wengine wajuzi wa kuchakachua na wengine wanafarijika na nyomi. Oktoba 27 wengine tutawaona high court kupinga matokeo. Sababu itakua wameibiwa na ushahidi ni nyomi ya kampeni.
 
Hata ningekuwa me sina kazi ningeeda nikajionee mbwembwe za wanasiasa,huwa ni burudani tu,ILA mgombea nitakaempigia inabaki kuwa siri yangu.sasa hivi tutashuhudia umati mkubwa Kila mkutano,lengo ni kuwaona live tu hakuna jipya.
 
Unataka wananchi wasiende kusikiliza sera? kama wewe una mahaba na mgombea fulani basi tambua kuna maelfu ya watanzania wanapiga kura baada ya kusikiliza sera kupitia mikutano ya hadhara kama ule wa jana au ya CCM na vyama vyote vya siasa. Hisia zako usizifanye kuwa ndio muongozo acha watu wasikilize sera
 
Hii mihemuko itawauwa.Magamba mlitegemea CHADEMA wangekosa public support kwa sababu mmejiaminisha kwamba wasukuma wote watakua CCM sababu ya Magufuli.
 
Nadhani hukutegemea kabisaaa kilichotokea MZA. Kwa taarifa yako...

Nyie mmefunga na Makufuli yenu.. Funguo tunazo wenyewe. Mtachomokea wapi mwaka huu..

Mmelikoroga na mtalinywa tu. Hata kama ni chungu.. meza upone:smokin:

''CHADEMA NI WANANCHI uliowaona MZA jana. CCM ni TOT tu''
 
Nenda wewe uitishe mkutano, au waambie tlp waitishe uone kama watajaa...

Hahahahahaaaa kweli aysee au TADEA waende afu tuone hao ma jobless kama watajaa..au Ma ccm yasiende kuwasombelea watu kwa magari afu tuone kama majobless watajaa vile.
 
Mkuu, hiyo analysis yako haitumiki hapa TZ, kumbuka kama hakuna kuchakachua ndugu zako wataipata fresh! Vijana wameamua kujiandikisha kuliko ule mtaji wa chama tawala. Huu mtaji ndugu yangu unaendelea kupungua kutoka mwaka hadi mwaka. Watu wako tayari kupokea matokeo yoyote ili mradi imetendeka HAKI, ingawa kwenu nyinyi HAKI ni kama kitendawili.
 
Nyomi ya watu iliwazuzua chadema zamani,kwa sasa itawazuzua ccm maana wanatumia nguvu sana! Ccm hawataamini matokeo mwaka huu,na mapandikizi watawekewa badala ya kuweka
 
Back
Top Bottom