WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Ngojeni Azam tujibebee hilo kombe lenyewe halafu ndio malalamoko yaongezeke.
Tulishajua mapema "mkifungwa lawama haziishi"
Huyu jmaa unajua anaichukia sana ccm kwa sababu ni mtu wa chadema anatambulik sana kuke jukwaa la siasa ni mbishi kama mumi ama mashavu ya kamongo,ni shabiki wa simba na mara nyingi yuko kule arusha,nimeshangaa sna jana kumuona na yeye yuko wenye haya mambo yetu,nilichojifunza kwake ni kwamba hata yale mauongo na ubishi wa kwenye lile jukwaa la siasa anataka kuleta huku kwenye spots,mwambie hili jukwaa huwa ni maukweli matupu sio uongo wa kwenye siasa.
Ngojeni Azam tujibebee hilo kombe lenyewe halafu ndio malalamoko yaongezeke.
hivi refa akikosea ndio washabiki mpige gari mawe nawasilisha tu
Ubaya mwasika kahama yupo ruvu shooting
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
Hao wengine pia wanaweza ni kuwandaa tu. Bila kichapo hata TFF haitazinduka. Lazima wafanye evaluation ya waamuzi kila wakati
kwa post yako, unataka kutuaminisha kwamba Ashanti walionewa nyie mkawafunga 5 sio??
Yaani kutoa draw mnalialia hivi? ngojeni muanze kufungwa ndo mtajua kama mmesajiri wachezaji au porno stars.
hivi matokeo yalikuwaje mbona mnalialia kama watoto wa kike, eti yanga haina mpinzani..
Kulazimisha ushindi kunakufanya ulete siasa hapa.kama hamtaki wachezaji wakwatuliwe watafutieni kazi ya ukarani.simba na yanga mna matatizo sana.watu wanazungumzia mpira unaanza oooh chadema.mgewafunga nyingi muone kama tungemzungumzia refa hapa.Huyu jmaa unajua anaichukia sana ccm kwa sababu ni mtu wa chadema anatambulik sana kuke jukwaa la siasa ni mbishi kama mumi ama mashavu ya kamongo,ni shabiki wa simba na mara nyingi yuko kule arusha,nimeshangaa sna jana kumuona na yeye yuko wenye haya mambo yetu,nilichojifunza kwake ni kwamba hata yale mauongo na ubishi wa kwenye lile jukwaa la siasa anataka kuleta huku kwenye spots,mwambie hili jukwaa huwa ni maukweli matupu sio uongo wa kwenye siasa.
waliopiga mawe na waliopigwa mawe ni wapi wala unga sasa maana mateja ndio wenye tabia za vurugu.Waliokua wanapigwa ni wale wala unga waliokuwemo kwenye gari