Onyo kwa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo kwa wanaume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bazazi, Sep 26, 2012.

 1. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Yoshua bin Sira 9:1-9 (Jerusalem Bible).

  1. Usimwonee wivu mkeo akaaye kifuani pako,
  Ukamfundisha fundisho baya juu yako mwenyewe.
  2. Usimpe mwanamke yeyote uhai wako,
  Hata azikanyake nguvu zako.
  3. Usimlaki mwanamke mgeni,
  Usije ukanaswa naye kwa nasibu.
  4. Usiambatane na mwanamke aliye malenga,
  Ama yamkini utategwa kwa hila zake.
  5. Usimkodolee macho msichana,
  Ama utatatanishwa katika madai yake.
  6. Usiwape Malaya uhai wako,
  Usije ukapotewa na urithi wako.
  7. Usitazame huko na huko katika njia za mjini,
  Wala usitembee ndani yake panapo ukiwa.
  8. Jicho lako uligeuze mbali na mwanamke marini,
  Wala usikazie macho uzuri wa mwingine.
  Wengi wamepotoshwa kwa uzuri wa wanawake,
  Na kwa huo ashiki huwashwa kama moto.
  9. Usijilisi sebuleni pamoja na yeye aliyeolewa,
  Wala usiende mandari naye kwenye mvinyo;
  Moyo wako usije ukamgeukia,
  Na roho yako ikatelemkia upotevu.


  NB:
  Mandari = Tafrija.
  Malenga = Yeye atafutaye uchumi kwa kuimbia watu.
  Marini = -zuri, -a kupendeza.

  Jilisi = -keti.
  Ashiki = tamaa ya ngono, mapenzi.

   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  haya haya safi sana
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  kama umekubaliana na onyo, uthibitishe hapa. Na uahidi htoongeza nke, lol
   
 4. baba junior

  baba junior Senior Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ful kutegwa wanaume sie.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yaani hata bible inawajua kumbe!
   
 6. C

  CAY JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbona umejitenga wakati user name inaonyesha wewe ni "Me"
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  nimelipenda onyo King'asti limenikumbusha sunday school!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  labda Baba V anamaanisha bible inawajua wanawake jinsi wanavojua kututega
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Mariano

  Mariano Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wa2wakiwa hv bikra kwa watoto wakiume ztakuwa nyingi
   
 10. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Imekaa vizuri je kwa wanawake onyo mbona hujaweka.
   
 11. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  asante sana mkuu
   
 12. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,286
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Align Test.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  pana chezeya jicho la mtoto wa kike akiamua kutega!ndo msikie sasa mnayoambiwa na yoshua bin sira,bible bwana ina kila jambo tunalofikiri halikuwapo duniani kabla yetu sisi,nikisoma WIMBO ULIO BORA huwa natafakari sana!
   
 14. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Emma sijakutana nalo, nikikutana nalo shurti niliweke.

  Bazazi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...