Onyo kwa wanaochukua wake za watu

Onyo kwa wanaochukua wake za watu

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Tuko watu tuna tabia ya kuchukua waume za watu na wake za watu! Na tunafikia mahali tunajivuna na kujipigapiga vifua kwamba! Hakuna mwanaume au mwanamke unayeshindwa kumpata ukimtaka!

Sababu zozote za kuchukua mke wa mtu au mume wa mtu hazikubaliki mbele za MUNGU! Kwanini unatumia uzuri wako, pesa zako, umaarufu wako kuchukua wake za watu na waume za watu? Na unajigamba kwamba hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kukukataa!

Kama wewe unachukua wake za watu na waume wa watu juwa wewe ni mfu, huwezi kupona! Litakupata janga lolote la kukufutilia mbali katika uso wa dunia, ni laana! Usiseme ananijipendekeza mwenyewe, hiyo sababu haiwezi kuiponya nafsi yako.

Kama wewe unatembea na mke wa mtu au mume wa mtu, unatakiwa kuacha mara moja na kumrudia Mungu kwa toba nzito! Muache huyo mke wa mtu au mume wa mtu! Hata kama anakupenda sana! Muache!
Tulia! Mungu atakupa wa kwako! Kwani wanawake wameisha au wanaume wameisha? Wasiwasi wako tu! Na hata kama unaye mumeo au mkeo acha tamaa wewe; kaa na wa kwako, jivunie wa kwako! Jiamini.

#msgDelivered
 
AAh usitutishe banaa, mbona mabalaa yanawapata watu wengi tena ambao ni mabikra. Ndege zinaanguka, magari yanapata ajali, mafuriko yanatokea kila siku, matetemeko, vita, ebola na magonjwa mengine mengi.....kwahiyo ayo yote yanawapata wazinzi tu?? Halafu kila binadamu hapa duniani ni mfu mtarajiwa kwahiyo sio lazima awe mzinzi.
 
mh! kwa uandishi huu ni kama kuna kitu kimemtokea mwandishi.....ahaaaaah
Haya ndo maisha na hawa ndo binadamu.....kazi kweli kweli
 
AAh usitutishe banaa, mbona mabalaa yanawapata watu wengi tena ambao ni mabikra. Ndege zinaanguka, magari yanapata ajali, mafuriko yanatokea kila siku, matetemeko, vita, ebola na magonjwa mengine mengi.....kwahiyo ayo yote yanawapata wazinzi tu?? Halafu kila binadamu hapa duniani ni mfu mtarajiwa kwahiyo sio lazima awe mzinzi.
Wakati wa Yusufu lilikuwepo li mke wa mfalme ambalo lilijipeleke lenyewe kwasababu tu! Yusufu alikuwa mzuri wa uso! Yusufu alijua akikubali umauti ni lazima! Soma kwa wakati wako maandiko haya Mwanzo 39:6-20!

Kuna mfalme alimtaka kumchukua mke wa Ibrahimu japokuwa hakuwa anajua, lakini angalia uzito wa mke wa mtu ulivyo! Mwanzo 20:1-3.."Basi Abimeleki mfalme wa Gerarl akapeleka watu akamtwaa Sara .3. Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia umekuwa mfu wewe kwasabbabu ya mwanamke huyu uliyemtwaa ni mke wa mtu.
 
[h=2]Yuda 1 :9 Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.

malizia hoja yako nzuri
[/h]
 
Tuko watu tuna tabia ya kuchukua waume za watu na wake za watu! Na tunafikia mahali tunajivuna na kujipigapiga vifua kwamba! Hakuna mwanaume au mwanamke unayeshindwa kumpata ukimtaka!
Sababu zozote za kuchukua mke wa mtu au mume wa mtu hazikubaliki mbele za MUNGU! Kwanini unatumia uzuri wako, pesa zako, umaarufu wako kuchukua wake za watu na waume za watu? Na unajigamba kwamba hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kukukataa!
Kama wewe unachukua wake za watu na waume wa watu juwa wewe ni mfu, huwezi kupona! Litakupata janga lolote la kukufutilia mbali katika uso wa dunia, ni laana! Usiseme ananijipendekeza mwenyewe, hiyo sababu haiwezi kuiponya nafsi yako.

Kama wewe unatembea na mke wa mtu au mume wa mtu, unatakiwa kuacha mara moja na kumrudia Mungu kwa toba nzito! Muache huyo mke wa mtu au mume wa mtu! Hata kama anakupenda sana! Muache!
Tulia! Mungu atakupa wa kwako! Kwani wanawake wameisha au wanaume wameisha? Wasiwasi wako tu! Na hata kama unaye mumeo au mkeo acha tamaa wewe; kaa na wa kwako, jivunie wa kwako! Jiamini.

#msgDelivered

Umeongea kw hisia sana wamesha kuzidi kete nn ??? Tehe Pole sana, wabongo hawana maana !! Hahaha
 
Unataarifa za matokeo ya sensa iliyopita kwanza?? je kila mmoja akiwa na wake peke yake itakuwaje kwa waliobaki?

Tuko watu tuna tabia ya kuchukua waume za watu na wake za watu! Na tunafikia mahali tunajivuna na kujipigapiga vifua kwamba! Hakuna mwanaume au mwanamke unayeshindwa kumpata ukimtaka!
Sababu zozote za kuchukua mke wa mtu au mume wa mtu hazikubaliki mbele za MUNGU! Kwanini unatumia uzuri wako, pesa zako, umaarufu wako kuchukua wake za watu na waume za watu? Na unajigamba kwamba hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kukukataa!
Kama wewe unachukua wake za watu na waume wa watu juwa wewe ni mfu, huwezi kupona! Litakupata janga lolote la kukufutilia mbali katika uso wa dunia, ni laana! Usiseme ananijipendekeza mwenyewe, hiyo sababu haiwezi kuiponya nafsi yako.

Kama wewe unatembea na mke wa mtu au mume wa mtu, unatakiwa kuacha mara moja na kumrudia Mungu kwa toba nzito! Muache huyo mke wa mtu au mume wa mtu! Hata kama anakupenda sana! Muache!
Tulia! Mungu atakupa wa kwako! Kwani wanawake wameisha au wanaume wameisha? Wasiwasi wako tu! Na hata kama unaye mumeo au mkeo acha tamaa wewe; kaa na wa kwako, jivunie wa kwako! Jiamini.

#msgDelivered
 
Wakati wa Yusufu lilikuwepo li mke wa mfalme ambalo lilijipeleke lenyewe kwasababu tu! Yusufu alikuwa mzuri wa uso! Yusufu alijua akikubali umauti ni lazima! Soma kwa wakati wako maandiko haya Mwanzo 39:6-20!

Kuna mfalme alimtaka kumchukua mke wa Ibrahimu japokuwa hakuwa anajua, lakini angalia uzito wa mke wa mtu ulivyo! Mwanzo 20:1-3.."Basi Abimeleki mfalme wa Gerarl akapeleka watu akamtwaa Sara .3. Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia umekuwa mfu wewe kwasabbabu ya mwanamke huyu uliyemtwaa ni mke wa mtu.

Nimekusoma na nimekuelewa hata mfalme daud alipofanya fitna ya kuuwa askari wake ili amchukue mke wa yule Mungu alimkasirikia sana na ikamfanya daud atubu na kufunga ili kutuliza hasira ya Mungu. Lakini wewe upo kimaandiko zaidi mimi nipo kijamii zaidi, kwa sababu hayo unayoyaita mabalaa nisehemu ya jamii yetu na yanawapata hata watoto wadogo vipi uofie kwa wazinzi tu. Lakini kuna wazinzi wengi mitaani humu wanazidi kubalikiwa maana tunashuhudia wakizidi kuneemeka kimaendeleo kila siku, apo ndio ninapochanganyikiwa ndugu yangu
 
Kubadilisha mboga muhimu bhana:leo tembele.kesho kisamvu,keshokutwa nyama,mtondogoo................. hapo ndiyo afya inaimarika!
 
pole haya ndo maisha, kama huchukui wewe watakuchukulia wengine.
 
AAh usitutishe banaa, mbona mabalaa yanawapata watu wengi tena ambao ni mabikra. Ndege zinaanguka, magari yanapata ajali, mafuriko yanatokea kila siku, matetemeko, vita, ebola na magonjwa mengine mengi.....kwahiyo ayo yote yanawapata wazinzi tu?? Halafu kila binadamu hapa duniani ni mfu mtarajiwa kwahiyo sio lazima awe mzinzi.

Kachapiwa huyo, Kaja kulia humu. Tehe
 
Yuda 1 :9 Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.

Wakati wa Yusufu lilikuwepo li mke wa mfalme ambalo lilijipeleke lenyewe kwasababu tu! Yusufu alikuwa mzuri wa uso! Yusufu alijua akikubali umauti ni lazima! Soma kwa wakati wako maandiko haya Mwanzo 39:6-20!

Kuna mfalme alimtaka kumchukua mke wa Ibrahimu japokuwa hakuwa anajua, lakini angalia uzito wa mke wa mtu ulivyo! Mwanzo 20:1-3.."Basi Abimeleki mfalme wa Gerarl akapeleka watu akamtwaa Sara .3. Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia umekuwa mfu wewe kwasabbabu ya mwanamke huyu uliyemtwaa ni mke wa mtu.
 
[TABLE="width: 684"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 119, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]30[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huyo ni wa kukuamsha tu siku ukishindwa kuamka,
usilie sana, maisha ndivyo yalivyo.

Back
Top Bottom