Nawatahadharisha wafanya biashara wote wanaotumia bandari ya Tanga au boda ya Horohoro kupitisha bidhaa zao.Na kama ukitaka kufilisika basi puuza onyo hili
Kama wote mnavyojua utaratibu wa TRA siku hizi, mahala popote sasa hivi tanzania ukitaka kulipia bidhaa zako ni lazima docoment zako ziazie tiscan, wakishakadiria kiwango unachotakiwa kulipa na ukishakubali basi unawalipa kupitia benki walizozichagua wao. baada ya hapo mnakwenda kuhakiki mzigo kama uko sawa. Kama uko sawa basi unapewa mzigo wako. kule Tanga ni kama nchi nyingine kabisa, Kwa pale bandarini tanga ikifika wakati wa kukagua, kama ni kakontena kamoja, watakuja wakaguzi zaidi ya 20 na kila mmoja anajifanya ametilia shaka mzigo wako, na kuanza kukutisha,utasikia "HUYO TUMPELEKE KWA BEN HUYO"
Ben ni mkuu wa forodha pale Tanga, na kwa ninavyosikia historia yake ni kwamba fail la mzigo wako likifika kwake, kwanza huo ushuru uliolipia ataukataa halafu anasema ni sawa na hujalipa kodi halafu anakupigia hesabu zake ambazo yeye anasema ni za kitaaluma,baada ya hapo ni lazima huo mzigo uachane nao maana hata kama ukienda kuuza huwezi kupata hiyo pesa ya ushuru anayotaka.
Kwa kuwa hiyo tabia yake imewatisha sana wafanyabiashara, maana kwa kweli ni wengi wamefilisiwa na huyo Jamaa, basi watu wanaamua kupitia horohoro boda angalau wamkwepe.Sasa basi huko horohoro ndiyo balaa kabisa, Pale TRA horohoro hakuna tatizo sana vijana pale wanafanya kazi vizuri kabisa , kama umeshalipia wanakagua na kama mzigo upo sawa, wanakupa mzigo wako unaondoka,
KIMBEMBE, Kutoka horohoro mpaka tanga ni kilometa 70, lakini kuna ROAD BLOCK 12, ktk hizo road block za TRA ni 2 tu, 10 ni za Askari polisi, TRA ukiwaonyesha Docoment za mzigo na kama umelipa vizuri hawana neno wanakuachia unaondoka, Ila POLISI wao hawataki DOCOMENT, Kila block utakayokutana nao wanataka milioni moja, ukiwaambia umeshalipa ushuru wao wanakwambia hizo ni za serikali bado zao, na ukibishana nao wanakuambia basi wao hawana neno ila wanakupeleka kwa BEN. Watafanya kila njia ya kukutisha mpaka uwape pesa. ukishawapa unaondoka baada ya kilometa 6-7 unakutana na wengine na hali ni hiyo hiyo , mpaka ufike Tanga mjini tayari ulishafilisika,,
HII NDIYO SABABU YA KUFA KWA TANGA WALA WASITAFUTE MCHAWI. Pale bandarini Tanga sasa hivi hakuna meli hata moja ya bidhaa inayotia nanga pale, watu wanakufa njaa, bandari mzuri kabisa lakini wameiuwa wenyewe. ONYO KAMA UNA NDUGU YAKO ANAFANYA BIASHARA AU ANATAKA KUANZA KUFANYA BIASHARA MTAHADHARISHE NA TANGA PORT ATAFILISIKA, KULIKO HIYO TANGA YENYEWE

Preta, kwani Bandari na TRA zipo kwenye wizara moja? maana nildhani hivi ni vitengo viwili tofauti. Kweli hili jahazi limekwenda mrema.huyu waziri wa mambo ya bandari anaweza kuwa ni rafiki wa Ben? bahati yake hajapewa Magufuli huo ukanda
Nawatahadharisha wafanya biashara wote wanaotumia bandari ya Tanga au boda ya Horohoro kupitisha bidhaa zao.Na kama ukitaka kufilisika basi puuza onyo hili
Ben ni mkuu wa forodha pale Tanga, na kwa ninavyosikia historia yake ni kwamba fail la mzigo wako likifika kwake, kwanza huo ushuru uliolipia ataukataa halafu anasema ni sawa na hujalipa kodi halafu anakupigia hesabu zake ambazo yeye anasema ni za kitaaluma,baada ya hapo ni lazima huo mzigo uachane nao maana hata kama ukienda kuuza huwezi kupata hiyo pesa ya ushuru anayotaka.
ANAFANYA BIASHARA AU ANATAKA KUANZA KUFANYA BIASHARA MTAHADHARISHE NA TANGA PORT ATAFILISIKA, KULIKO HIYO TANGA YENYEWE
vipi umesharudi toka wellington
tumieni bandari ya zanzibar hakuna zengwe ndani ya siku2 tu unatoa mzigowako tena ukiwasalama kabisa,unachotakiwa nikufata taratibu nakulipia ushuru,tokea imeingia serikali mpya yamseto 2010 amini usiamini rushwa imeondoka zenj kwa asilimia 80,na after 3 month zenj itakua mfano wakuigwa dunian kwa kutokua na ubabaishaji naula rushwa,ukitoa mzigo wako unaupeleka dar unaonesha document kuna process kidogo badae unapeleka popote upendapo ktk tanganyika au popote kule,juzitu kuna meliyamchele mbovu imerudishwa ilikotoka na maalim seif amesema wazi zenj sio jalala lakuleta bidhaambovu,kama hamuamini nendeni zenj mkajionee hata hospital za serkal kuna mabadiliko makubwasana yakiutendajiNawatahadharisha wafanya biashara wote wanaotumia bandari ya Tanga au boda ya Horohoro kupitisha bidhaa zao.Na kama ukitaka kufilisika basi puuza onyo hili
Kama wote mnavyojua utaratibu wa TRA siku hizi, mahala popote sasa hivi tanzania ukitaka kulipia bidhaa zako ni lazima docoment zako ziazie tiscan, wakishakadiria kiwango unachotakiwa kulipa na ukishakubali basi unawalipa kupitia benki walizozichagua wao. baada ya hapo mnakwenda kuhakiki mzigo kama uko sawa. Kama uko sawa basi unapewa mzigo wako. kule Tanga ni kama nchi nyingine kabisa, Kwa pale bandarini tanga ikifika wakati wa kukagua, kama ni kakontena kamoja, watakuja wakaguzi zaidi ya 20 na kila mmoja anajifanya ametilia shaka mzigo wako, na kuanza kukutisha,utasikia "HUYO TUMPELEKE KWA BEN HUYO"
Ben ni mkuu wa forodha pale Tanga, na kwa ninavyosikia historia yake ni kwamba fail la mzigo wako likifika kwake, kwanza huo ushuru uliolipia ataukataa halafu anasema ni sawa na hujalipa kodi halafu anakupigia hesabu zake ambazo yeye anasema ni za kitaaluma,baada ya hapo ni lazima huo mzigo uachane nao maana hata kama ukienda kuuza huwezi kupata hiyo pesa ya ushuru anayotaka.
Kwa kuwa hiyo tabia yake imewatisha sana wafanyabiashara, maana kwa kweli ni wengi wamefilisiwa na huyo Jamaa, basi watu wanaamua kupitia horohoro boda angalau wamkwepe.Sasa basi huko horohoro ndiyo balaa kabisa, Pale TRA horohoro hakuna tatizo sana vijana pale wanafanya kazi vizuri kabisa , kama umeshalipia wanakagua na kama mzigo upo sawa, wanakupa mzigo wako unaondoka,
KIMBEMBE, Kutoka horohoro mpaka tanga ni kilometa 70, lakini kuna ROAD BLOCK 12, ktk hizo road block za TRA ni 2 tu, 10 ni za Askari polisi, TRA ukiwaonyesha Docoment za mzigo na kama umelipa vizuri hawana neno wanakuachia unaondoka, Ila POLISI wao hawataki DOCOMENT, Kila block utakayokutana nao wanataka milioni moja, ukiwaambia umeshalipa ushuru wao wanakwambia hizo ni za serikali bado zao, na ukibishana nao wanakuambia basi wao hawana neno ila wanakupeleka kwa BEN. Watafanya kila njia ya kukutisha mpaka uwape pesa. ukishawapa unaondoka baada ya kilometa 6-7 unakutana na wengine na hali ni hiyo hiyo , mpaka ufike Tanga mjini tayari ulishafilisika,,
HII NDIYO SABABU YA KUFA KWA TANGA WALA WASITAFUTE MCHAWI. Pale bandarini Tanga sasa hivi hakuna meli hata moja ya bidhaa inayotia nanga pale, watu wanakufa njaa, bandari mzuri kabisa lakini wameiuwa wenyewe. ONYO KAMA UNA NDUGU YAKO ANAFANYA BIASHARA AU ANATAKA KUANZA KUFANYA BIASHARA MTAHADHARISHE NA TANGA PORT ATAFILISIKA, KULIKO HIYO TANGA YENYEWE
tumieni bandari ya zanzibar hakuna zengwe ndani ya siku2 tu unatoa mzigowako tena ukiwasalama kabisa,unachotakiwa nikufata taratibu nakulipia ushuru,tokea imeingia serikali mpya yamseto 2010 amini usiamini rushwa imeondoka zenj kwa asilimia 80,na after 3 month zenj itakua mfano wakuigwa dunian kwa kutokua na ubabaishaji naula rushwa,ukitoa mzigo wako unaupeleka dar unaonesha document kuna process kidogo badae unapeleka popote upendapo ktk tanganyika au popote kule,juzitu kuna meliyamchele mbovu imerudishwa ilikotoka na maalim seif amesema wazi zenj sio jalala lakuleta bidhaambovu,kama hamuamini nendeni zenj mkajionee hata hospital za serkal kuna mabadiliko makubwasana yakiutendaji