Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

Unata
Unatakiwa na wewe kuitwa na kuhojiwa kwa kuingilia uhuru wa bunge kufanya maamuzi
 
narudia tena ole wao wamsamehe mtu aliyenunua cheti! anapaswa kuwa mahakamani
 
Hapa ndipo mtakapomfahamu vizuri Magufuli.You wait and see the 8th World Wonders Tafakari
 
safi sana yeriko nyerere, na mimi naongezea ole wao ole wao ole wao.Bunge litakuwa limepoteza hadhi yake ya kuwa Bunge, hakya nani litakuwa bunge la Mabashite Wote.
 
Hizo ni ndoto
Narudia ni ndoto
na muda utazungumza
mawazo yenu mngando mtabaki nayo hivyo hivyo
makonda yupo na ataendelea kuwepo
dua zenu kamwe hazifiki popote
ole wao wamsamehe muhujumu wa elimu yetu! anapaswa kushitakiwa
 
Nawewe tutakuita Bungeni ukahojiwe kwani kujifanya wewe ni Mahakama afu unawaelekeza wabunge nini cha kufanya ni ujinga
 
na mimi naongezea pia kama mtanzania kuwa mimi sikumchagua mbunge asiyejitambua najua nimemchagua mbunge jembe kwa kuwa mimi jembe mbunge ukizingua jimboni usije coz utakuwa huna faida
 
Is this personal?? Hovyo kabisa.
 
Mimi nasema ole wenu mmchukulie hatua kali badala ya kumsamehe.
Ninyi mkikosea si huwa mnafuta tu kauli halafu mnasema "message sent and deliverd "
 
wewe kiumbe ni mjinga sana. Hivi una uelewa wa mamlaka ya Bunge Kikatiba na Kisheria??? Ni nani alikwambia Bunge Lina mamlaka ya KUTOA ADHABU kwa wateule wa Rais? Bunge litafanya kazi yake na kuazimia watayoyaona yanafaa; Bunge halina mamlaka ya kuelekeza mhimili mwingine namna ya kuteua au kutumbua. HUO NI UAMUZI WA MAMLAKA YA UTEUZI. Tatizo mnamchukia mtu na kutamani Katiba na Sheria zikanganywe ili usiyempenda aadhibiwe. HAMTAFANIKIWA... ENDELEA KUSUBIRI SANA
 
Umepata Vipi Taarifa za Siri za Vikao vya Kikatiba vya Kamati ya Bunge ambavyo havikuwa public??? Huoni kwamba unavunja sheria kwa kuleta taarifa kuhusu shughuli za bunge kabla hata ya Bunge lenyewe halijautaarifu umma???? Kumchukia Kwako Makonda hakuwezi Kufanya Mhimili unaojiheshimu kama Bunge Kuchukua maamuzi unayoyatamani na ukumbuke kwamba mwisho wa siku, mamlaka ya mwisho dhidi ya Makonda ni RAIS PEKEE.
 
Kamati haikutumwa kusamehe, bali kamati imetumwa ipeleke mapendekezo Bungeni ili yakajadiliwe, na matumaini yangu wabunge watafanya kinachopaswa katika kumwajibisha huyu mtu!
 
Wakati wangu wa ujana kipindi kama hiki ningemvia mke wa nanihii mpaka nimpate walau hasira zangu ziisWatu wakipiga kelele huku mimi nasema bora waendelee maana namsaidia mkewe asipate stress.

Siku hizi nimezeeka umri umenitupa, ila vijana wa sasa mmmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…