onyo kali!!

onyo kali!!

Huu nao ni ufisadi. Pia ni matumizi mabovu ya rasilimali.

Nimetoa mabandiko mangapi hapa jukwaani ya kutafuta binti/ mke. Sijapata hata wa kushika pembe. Wewe unao Lundo.

Acha roho mbaya. Tupunguzie wengine tukusaidie.

hahahaaa......... Shkamoo Mzee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kweli nimebadili itikadi kabisa,
Nimekumbuka mema mengi niliyofanyiwa na nchi yangu
siwezi kukisaliti chama kilichonifikisha hapa nilipo sana.

Kwani Mamndenyi kuna mtu anakuonea wivu na penzi lako jipya na chama
Tatizo umebadili mpaka itikadi kwa sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom