S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,157 Reaction score 28,766 May 20, 2013 #21 Mmh, vijana wa siku hizi kweli hamjui hesabu! Haya angalia jibu hapo chini, ila usiniulize nimepataje! Eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Jibu ni 58
Mmh, vijana wa siku hizi kweli hamjui hesabu! Haya angalia jibu hapo chini, ila usiniulize nimepataje! Eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Jibu ni 58
GreenCity JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 5,904 Reaction score 4,666 May 20, 2013 #22 =90 lete jingine!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 20, 2013 #23 puffader said: eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Mthibitishie we mkali! Click to expand... 9x8=72
puffader said: eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Mthibitishie we mkali! Click to expand... 9x8=72
H hopeson Member Joined Apr 28, 2013 Posts 38 Reaction score 11 May 20, 2013 #24 2=2(3) 3=3(4) 4=4(5) . . 9=9(10)=90
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 May 20, 2013 #25 Puffader said: Eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Mthibitishie we mkali! Click to expand... 7=56 8=72 9=90 10=110
Puffader said: Eti kuna jamaa na kahisabati kake: 2=6 3=12 4=20 5=30 6=42 9=? Mthibitishie we mkali! Click to expand... 7=56 8=72 9=90 10=110