Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,224
Hilo nadhani anajua yeye anaweza kwenda kwao kenya akasubiri dirisha lifunguliwe akaja tenaAondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla
Nadhani labda sisi simba tunamuhitaji akakimbizane na kisinda.Makolo mlipeni Onyango pesa zake aondoke akatafute furaha kwingine
Anza na kina akpan, Gadiel, Kapama wako wapi?Ila simba inaua sana vipaji.
Beki kama onyango kweli wamuweke benchi mpaka akose timu ya maana mbeleni ndio wafurahi
Hilo liko wazi beki kama onyango sio wa kukaa benchi kabisa mpaka kufikia kuomba kuvunja mkatabaSimba imekua timu fulani ya kipuuzi sana..kuna wapuuzi wananufaika na kinachoendelea pale..
Kama huoni hoja ni wewe tu mimi sio kosa languLete hoja ungeeleweka tuu sasa nini kuita timu malaya? Ww huna akili
Yeye ndo anataka kuvunja mkataba, alipe hela ya mkataba aondoke.Makolo mlipeni Onyango pesa zake aondoke akatafute furaha kwingine
Nijinyonge na Simba namuachia naniKama huoni hoja ni wewe tu mimi sio kosa langu
Jinyonge kama hutaki.
Kwani uongo?Taarifa mbona zipo nyingi ila yako umeoma hainogi bila kuita timu tena wanaume wenzio wanacheza eti wanapigwa kama malaya
Na hapo ndipo unapoonyesha uboyaNijinyonge na Simba namuachia nani
Kazi na umri, onyango kapima maji kaona kina kirefuNadhani labda sisi simba tunamuhitaji akakimbizane na kisinda.
Wanategeana bwana simba wanasubiri onyango avunje mkataba awalipe naye babu anasubiri simba wavunje mkataba wamlipe.Yeye ndo anataka kuvunja mkataba, alipe hela ya mkataba aondoke.
Nasikia alisema ana miaka 22 ilibaki kidogo ijulikaneKazi na umri, onyango kapima maji kaona kina kirefu
Anadai pesa za usajili ambazo walikubaliana kwenye mkataba wake aliosaini mwishoni mwa msimu bado hajatimiziwaYeye ndo anataka kuvunja mkataba, alipe hela ya mkataba aondoke.