macho_mdiliko JF-Expert Member Mar 10, 2008 21,770 39,544 May 14, 2018 #5 Rahisi gharama. Ukiona unaitiwa fursa ujuwe wewe ndiyo fursa. Wajinga ndio waliwao. Kazi ndiyo njia pekee ya kupata kipato.
Rahisi gharama. Ukiona unaitiwa fursa ujuwe wewe ndiyo fursa. Wajinga ndio waliwao. Kazi ndiyo njia pekee ya kupata kipato.
mng'ato JF-Expert Member Oct 27, 2014 29,204 48,983 May 14, 2018 #6 Aisee acha wapigwe tu hakuna namna tena. Kijana wa miaka 23 kawashika akili watu wazima wenye mbupu zao 2.
Aisee acha wapigwe tu hakuna namna tena. Kijana wa miaka 23 kawashika akili watu wazima wenye mbupu zao 2.
Jay47 JF-Expert Member Jun 13, 2017 294 284 May 14, 2018 #7 Duuh huy jamaa huyu,,,, tapelii kwelii yaanii!! ,
mvaa viatu JF-Expert Member Nov 6, 2017 351 522 May 14, 2018 #8 Ndio tatizo la kuwa wakulima munaibiwa kiulaiiini
Rebeca 83 JF-Expert Member Jun 4, 2016 14,840 31,583 May 14, 2018 #9 mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,658 20,889 May 14, 2018 #10 kama ameweza toa hela basi zitakuwa zake.
Jay47 JF-Expert Member Jun 13, 2017 294 284 May 14, 2018 #11 Tutapata uhakika hapa hapaa,,,, ngj wadau wa tmt wajee watuhakikishie........
T Tissaphernes JF-Expert Member Mar 27, 2018 2,903 3,549 May 14, 2018 #12 Niko kwenye group la TMT hiyo imewekwa na Createn ambaye amebaki kama Director, Inavyo onesha jamaa kabeba mgao wake
Niko kwenye group la TMT hiyo imewekwa na Createn ambaye amebaki kama Director, Inavyo onesha jamaa kabeba mgao wake
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,511 May 14, 2018 #14 Ni kweli au naota? Ngoja tusubiri ili tujue kutoka kwa ONTARIO kama kweli muungwana kama yeye anaweza kutia ndani kitita choooote hicho.
Ni kweli au naota? Ngoja tusubiri ili tujue kutoka kwa ONTARIO kama kweli muungwana kama yeye anaweza kutia ndani kitita choooote hicho.
mng'ato JF-Expert Member Oct 27, 2014 29,204 48,983 May 14, 2018 #15 Rebeca 83 said: mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu? Click to expand... Subiri hapo hapo utajua tu mkuu.
Rebeca 83 said: mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu? Click to expand... Subiri hapo hapo utajua tu mkuu.
T Tissaphernes JF-Expert Member Mar 27, 2018 2,903 3,549 May 14, 2018 #17 Ontario kama mjanja awahi border mapema
P Peaceforever JF-Expert Member Jan 6, 2011 1,744 1,776 May 14, 2018 #18 pengine ni mgawo wake halali bwana.
V VIWANJA DOM Member May 9, 2018 66 51 May 14, 2018 #20 MTU anawezaje kutoa hela bank kama sio zake? Au huko MNA utaratibu gani