Ni mkinga sijui mbena mmoja wa huko NjombeSalute.Niende kwenye hoja kuna huyu jamaa anaitwa ONNI SIGARA huwa namsikia sana clouds fm naomba mwenye wasifu wa huyu jamaa maana amekuwa akiulizwa misamiati ya kiswahili na kujibu kwa ufasaha na sauti yenye mamlaka hivyo ningependa kujua cv yake kwa ufupi
Ni mkinga sijui mbena mmoja wa huko Njombe
Mchambuzi wa lugha ya Kiswahili ila sijui alijifunzia wapi
Ni mcheshi sana katika maisha ya kawaida utani mwingi
He is a good guy!
Amefanyaje kwani?
Anaitwa Oni Sigalla ni mhariri mwandamizi wa kiswahili BAKITA,.
Cc Phillip Mwihava
Jamaa anatutao tongotongo sana
Hakukuwa na ulazima wa kuweka kabila tudumishe utanzania wetu!Ni mkinga sijui mbena mmoja wa huko Njombe
Mchambuzi wa lugha ya Kiswahili ila sijui alijifunzia wapi
Ni mcheshi sana katika maisha ya kawaida utani mwingi
He is a good guy!
Amefanyaje kwani?
Hakukuwa na ulazima wa kuweka kabila tudumishe utanzania wetu!
lkn sidhani kama alikuwa na lengo baya mkuu.
Salute.Niende kwenye hoja kuna huyu jamaa anaitwa ONNI SIGARA huwa namsikia sana clouds fm naomba mwenye wasifu wa huyu jamaa maana amekuwa akiulizwa misamiati ya kiswahili na kujibu kwa ufasaha na sauti yenye mamlaka hivyo ningependa kujua cv yake kwa ufupi
Sioni shida hapoHakukuwa na ulazima wa kuweka kabila tudumishe utanzania wetu!
Huyu ni mbena nimesoma naye pale The Highlands sec school mjini Iringa tukiwa na Salim Asas na wengineo! Alikuwa mtu wa utani sana akiwa na akina Oscer, rip Kille Kitosi, Midaku, Seba Luhanga nk!Ni mkinga sijui mbena mmoja wa huko Njombe
Mchambuzi wa lugha ya Kiswahili ila sijui alijifunzia wapi
Ni mcheshi sana katika maisha ya kawaida utani mwingi
He is a good guy!
Amefanyaje kwani?
Mkuu tutapata wapi muda wa kusoma kamusi ya TUKI badala ya kufuatilia akina Diamond ,Wema,Mbosso,Amba Rutt ,Zitto,Lissu na wengineo.Hata Wewe hapo ulipo ungekuwa tu una ile Kamusi ya TUKI nadhani ungekuwa Onni Sigala ' number two ' kwani maneno yake mengi anayatoa huko. Tatizo la Watanzania wengi ni Wavivu Kujisomea na Kutafuta ' Maarifa ' hivyo akitokea tu Mtu ambaye anajua Kucheza na akili za Watanzania basi hao hao Watanzania humuona Shujaa au Msomi sana au Mtu mmoja mahiri na mwerevu wakati ni mambo ya kawaida sana.
Atauliza BAKITA ndiyo nini?Usipopata hapa, nenda BAKITA
Ni Mkinga sio MbenaHuyu ni mbena nimesoma naye pale The Highlands sec school mjini Iringa tukiwa na Salim Asas na wengineo! Alikuwa mtu wa utani sana akiwa na akina Oscer, rip Kille Kitosi, Midaku, Seba Luhanga nk!