Only in Tanzania

Chakubanga na wahuni wenzake Mungu awaadhibu kwa damu hii.
 
Naona Masoud anaendelea kutafuna karanga..
 
Marekani yapo mfano wa hayo,waulize black kule wanayajua.
 
Boy friend wake ana msiba mzito; mtoto mzuri mno lah; kweli nailaumu hiyo risasi kwenda juu kisha kukata kona hadi kwa dirisha la daladala alipokuwa ameketi mrembo. Inauma kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…