Makosa yanapogeuzwa kuwa SOURCE OF INCOME.........
1. Tutaviziana, badala ya kuelimishana
2. Tutalazimishana kisa nguvu ya dola, badala ya kuelimishana
3. Tutategeana kila mitego ilimradi kila mtu anaswe
4. Tutapewa makosa mengi ili ngalau libaki moja na unayepewa kosa uone kama umesevu kwa kupunguziwa makosa
Nchi yangu naililia....