Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
Mwee kwa kweli tanzania kibokooooo...yaani mtu wa ofisini hawezikukusaidia mpaka umpe hongo....
.nimeshachoka at the end ikabidi tuu nitoe hiyo hongo mweee only in Tanzania......
Kelly, usije kulia lia hapa kama umeshatoa hongo!
Ni sawa na mtu anaenda kushitaki polisi karepiwa halafu kwenye statement anasema after a while alianza ku enjoy na ku cooperate na kujigeuza geuza! Sasa umekuja kushitaki nini? Aaah! Rudi huko vizazi na vifo kawapoze tena wakutengenezee jina jipya uende unyamwezini kuchukua new social security namba urekebishe credit history issues! Aaaah! Kama kweli umeumia, mtaje huyo meneja au tarishi wa vizazi na vifo.
pole na punguza hasira,ni kweli hapo vizazi na vifo ndo zao,mimi nshasumbuliwa sana hapo mpaka nikamleta mjeshi ndio wakakimbizana kunisaidia,tanzania noma kweli pole sanaassumption!assumption!assumption...nani kakwambia kuwa vizazi na vifo ni kubadilisha jina tuu!....wewe bana upo so negative kila siku....miye sijaja kulia hapa na hata kama nikilia wewe tatizo lako ni nini??......yes himetoa hongo ili niweze kusaidiwa nachotaka na for the record watu wanaobadilisha majina hawafuati process kama zangu wanatumia milango ya nyuma ok!.....
kama hujapendezewa na nilichoandika then chukua kama ujinyonge!....najaribu kuweka life iwe rahisi kwako...
alafu read my words ok kama hupendi nachoandika then don;t read or respond sawa kaka......sitaki kusema i hate you maana its a big word ila tuu naomba please stay away maana huwa sikufuatilii ya kwako why unapenda kunichokonoa mimi?......
Dada usikute ulienda na "airs" na u know nyiingii! manake kuna watu wakitoka marekani taabu tupu!
pole na punguza hasira,ni kweli hapo vizazi na vifo ndo zao,mimi nshasumbuliwa sana hapo mpaka nikamleta mjeshi ndio wakakimbizana kunisaidia,tanzania noma kweli pole sana
..wewe bana upo so negative kila siku....miye sijaja kulia hapa na hata kama nikilia wewe tatizo lako ni nini??
Sasa kama ulitoa hongo, na uli enjoy huduma, unakuja kutuambia sisi ili iweje? Watu wa JF wengi wana frustrations na jinsi nchi yetu inavyoendeshwa, huwezi kuja kujichekesha na mambo yako ya hongo hapa!......yes himetoa hongo ili niweze kusaidiwa nachotaka
Hivyo vya "chukua kamba ujinyonge" ni vimipasho mipasho ambavyo havi belong hapa. See, unadhani uko facebook... hahahahaaaa!kama hujapendezewa na nilichoandika then chukua kama ujinyonge!....najaribu kuweka life iwe rahisi kwako...
Sipendi "kukuchokonoa" Kelly. Ila ukileta mada hapa ni ya wote... hatuna pairs za washikaji wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe hapa. Kama nina la kuchangia kuna ubaya gani nikichangia?.....sitaki kusema i hate you maana its a big word ila tuu naomba please stay away maana huwa sikufuatilii ya kwako why unapenda kunichokonoa mimi?...
Kelly,
Umekuja kulalamikia tatizo la hongo ukaliweka kwenye baraza la jamii nzima, ndo maana linanihusu. Unapoweka kitu hapa ni cha wote! Huwezi kusema Dilunga unanifuata fuata achana na mada zangu! hahahaaaaaaaa,
Sasa kama ulitoa hongo, na uli enjoy huduma, unakuja kutuambia sisi ili iweje? Watu wa JF wengi wana frustrations na jinsi nchi yetu inavyoendeshwa, huwezi kuja kujichekesha na mambo yako ya hongo hapa!
Elewa demographic na general sentiment ya jamvi unalojiunga nalo. Wengi hapa tunachukia ufisadi!
Hivyo vya "chukua kamba ujinyonge" ni vimipasho mipasho ambavyo havi belong hapa. See, unadhani uko facebook... hahahahaaaa!
Sipendi "kukuchokonoa" Kelly. Ila ukileta mada hapa ni ya wote... hatuna pairs za washikaji wanaojibizana wenyewe kwa wenyewe hapa. Kama nina la kuchangia kuna ubaya gani nikichangia?
We unafikiri umepiga your Louie bag for the swagger, them Balenciaga on them pretty feet for popping colors like we in the hood, and them Jackie O shades to top it off with sophisticated class without forgeting them Hermes scarf, just for the hell of it.
Unafikiri watakuachia, wenyewe wanakwambia hawafanyi kazi ya kanisa.
Sad.
Halafu sisi wenyewe tunakuwa enablers.
Pale anatakiwa kichaa aende makusudi ana warekodi, halafu akishawapata on tape anazusha balaa all hell breaks loose, mikelele ya "mnaniomba rushwa, mnaniomba rushwa".
Kelly acha hasira,unajua watu tumetofautiana sana,nilipoanza kusoma hii post yako nilianza vutiwa nayo nikijua kuwa wewe ni strong and you can fight for your rights,but finaly umenidissapoint kwakweli,was there any need for you to bribe for your own rights?How many times can you bribe sasa?ulichotakiwa kufanya ni ukaidi kama ulioanza nao kwa yule dada,hivi ni picha gani unatuletea kwenye hii nyumba ya great thinkers?we dont offer some silly credits down here,you should learn from your mistakes!!!!
"Corruption should not be decorated with any one of us"
Acha hasira ujifunze mdogo wangu!!!
Mwee kwa kweli tanzania kibokooooo...yaani mtu wa ofisini hawezikukusaidia mpaka umpe hongo....
here is the thing right...Nimeenda vizazi na viso nataka wabadilishe something something kwenye birth certificate yangu..nafika reception nakutana na demu..nikamsalimia hello!..akaniambia nataka nini nikamwambia nimkusalimia kwanza....akasema ok shida yako ni nini?nikasema dang whats up with the atitutde?!....then badala ya kunisaidia akaniambia kuwa..since hiyo birth certificvate yangu ilishakuwa issued hawawezi change anything...nikamwambia let me talk to your manager akasema hayupo nikamwambia i will wait...akaniona sturbon...nikamwambia it's not the fact that nipo sturbon ila ni haki yangu you know..upo hapa kusaidia watu kama sisi...akaniambia pandisha juu enda huku kata kule direction hazina kichwa wala mguu...yaani hajamaliza akasema next.....
ok nikajaribu fuata hizo direction nikawa napotea nikamkuka mkaka nikamuuliza akaniambia ooh panda ngazi nenda juu...nikafika kule nikakutana na demu mwingine tukarudi kule kule tena....nikamwambia matter of fact nataka kuongea na manager...akaniambia mlango ule pale nenda...nikaenda nakutana na baba mmoja ana kitambi hivi nikampa salaam yake then nikamueleza situation kutoka huko chini akacheka kwanza alafu akaniambia how long have you been away nikamuuliza unamaana gani akasema unaonekana hujui taratibu....kisa nitoe hongo nikasema taratibu ni nimezifuata sijui unachoongea akasema Naniliu ya chai mweeh wakati ni haki yangu kweli kweli is this fair?...hahahahaha kusema kweli i laughed at him not with him.....then akaniambia ok njoo kesho kesho imekuwa kesho hadi...nimeshachoka at the end ikabidi tuu nitoe hiyo hongo mweee only in Tanzania......

....siye wengine siyo watoto wa wakubwa kama ww mwenzetu sawa....wengine ni watoto wa hohe hahe....ndiyo maana tunaishia kutoa hiyo pesa ya chai...
kelly01 said:Re: Only in Tanzania LOL!....