Only in Tanzania: Amshukuru Rais kwa kupona kwenye Ajali ya Basi

Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi la Majinja iliyotokea leo ameishukuru Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa Serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza

View attachment 1255024
Kama kawaida mabingwa wa kupotosha.
 
Na wewe ukimalizana na shemeji yetu mshukuru mbowe. Hujakatazwa.

Kawapongeza wakuu wa wilaya chini ya serikali ya JPM, sasa kakosea nini? Hujui wamemsaidiaje unakurupuka tu.

Wivu mbaya sana.
Huu sasa wendawazimu, kwanini asimshukuru Mungu huyu.
 
Katika kile ambacho tunaweza kukiita Addiction ya Magufuli, manusra mmoja wa ajali ya basi la Majinja iliyotokea leo ameishukuru Serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli na jeshi la Polisi kwa kupona kwenye ajali.

Nadhani tunahitaji elimu ya kutenganisha utendaji wa Serikali na mambo mengine. Itafika kipindi hata ukimtia mimba mkeo unaishukuru Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli

Halafu ana lafudhi kama ya ndugu zake zumbemkuu na Chakaza

View attachment 1255024
Kwani mtu kuonyesha mahaba yake hadharani kwa mtu ubaya uko wapi?
 
Back
Top Bottom