Only In Italy.

Waitalia bwana! Dadapoa kwao wanawawekea kibao cha tahadhari?
Ili kama unahitaji upunguze mwendo labda.Inawezekana ni hivyo maana bila shaka hawa wadada wanalipa kodi serikalini kwa hiyo serikali inawapa kapromo ka aina fulani.
 
Kibao cha tahadhari kwamba eneo hilo kuna madada poa, kwahiyo slow down usije ukawagonga, na ukizingatia baadhi yao wako high kupita maelezo. Ni sawa na vibao vinavyowekwa karibu na mashule.
 
Safi sana haya ndio mambo tunasema nchi yenye utawala wa kidemocrasia sio hapa kwetu
 
We utafurahia ukimkuta mama au dada yako akijiuza?

Sasa mama au dada akijiuza we itakucost nini wakati anaendesha maisha yake na wala havunji sheria na kodi analipa.
wakati mwingine tuache kuwa sensitive kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…