Umejuaje kuwa ni Wasukuma?Haya manumbu si afadhali wangeyaweka chini ya majivu hapo chini yangeiva?
Hawa watani zangu Wasukuma saa nyingine wanafanya zile hadithi za Abunuasi. Iii, ngosha?
Umejuaje kuwa ni Wasukuma?
...and why only in Africa? Wamarekani trailer park rural white trash mbona kawaida tu zaidi ya hii? Waafrika kwa kujidharau bwana!
Organic potatoes bila chenga hapo na maziwa mgando mtu uko safiiii!!!

Nimekuelewa mkuu. We mtani wetu ni kabila gani nasi tutafute vitu vya kukubambikiza. Lakini utani nao inabidi uwe na mipaka yasije yakatokea kama yale yaliyompata Mzee Zakaria katika Rosa Mistika!Tabu yangu ni kuwa yataiva hapo?
Pia, Wasukuma ni watani zangu, ndio wanyonge wangu. Mimi ni mfalme wao.
Basi hata kama kitu hawakufanya wao mimi nawabambikizia tu.
Nimekuelewa mkuu. We mtani wetu ni kabila gani nasi tutafute vitu vya kukubambikiza. Lakini utani nao inabidi uwe na mipaka yasije yakatokea kama yale yaliyompata Mzee Zakaria katika Rosa Mistika!
Ndio, lakini vitaivaje havijafunikwa?Mlo safi sana huo