Only For Researchers

Only For Researchers

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
KxBCPT.jpg
...........Kwa Mtaji Huu Inabidi Ufanye Kauchunguzi
Kabla Hujaanza Mambo Yako.....................
 
you gotta be kidding me! :shock:
hahahahahahaha, :lol::lol::lol:
 
Hapo inabidi uhairishe maana haichelewi kwa hizo picha kuingia kwenye mitandao
 
kwanza hapo ni ukiukwaji wa ethics za research, inabidi wanaoingia chooni hapo waridhie kwanza huo upigwaji picha. Kuingia tu ukatoka picha inakuwa ishapigwa. Na huo ni ukiukaji wa maadili pia
 
Back
Top Bottom