Habari wana jamvini,mimi ni kijana mwenye umri 27,mrefu 5.9feet umbo la wastani,natafuta msichana alie searious na ambaye yukp tayari kuanza maisha,awe anaishi hapa england,scotland au wales na ambae yuko tayari kufahamiana na kujuana zaidi,mimi ni professional na muda mwingi nautumia kwenye mihangaiko yangu,even tho i will hv time for that special one,just for peace of mind i have my paper(karatasi)Na akiwa mtanzani itakuwa bonus tho not essential,plz i like positive comments only as this isnt a joke place,thanx.